@mr.smart.tz: Post 22 | Saikolojia 6 Nzito za Mtoto wa Kwanza Ambazo Familia Nyingi HAZIJUI #MtotoWaKwanza #LifeAdvice #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #fypシ

@Mr smart Tz
@Mr smart Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 14:08:05 GMT
198090
4514
193
657

Music

Download

Comments

llady97
Glady :
First born Thankyou very much I need more🥰🥰
2026-08-30 13:24:23
1
bi.dulah
queen :
mm first born daughter aky kt ya hz hkn yny sna
2026-08-30 20:46:47
4
rynhabby
Ryn_habby😜 :
This is exactly me….
2026-08-30 07:56:51
1
subiratarimo1
subira :
I'm a first born , yooooh😏
2026-08-29 17:36:13
3
zamzam00374
zamzam00374 :
Watoto wa kwanza tunapitia magumu
2026-08-31 06:32:48
9
nurse.neema
nurse.neema :
first born 😍
2026-08-29 16:31:47
2
official_jsm1
JSM❤️ :
nasubiri mkifika kwny last born mnistue
2026-08-29 20:27:18
14
fredjoel
Fredy joel Benjamin :
mimi ni mtoto wa kwanza naona vyote vilivyozungumzwa hapo ni kweli mtupu
2026-08-31 03:59:13
6
piecemind255
me🎶 :
for the first time nimeskia kitu ambacho nilitamani kuskia kwa miaka mingi sana
2026-08-30 13:03:53
5
passion_68
Btk hawa 🥰🤩 :
yote kwa mwanangu anayapitia
2026-08-30 19:23:03
1
abuuadeyyum
عبدالرحمن 🥰🥰🥰 :
Kisha wanatutia kwenye matatizo sisi wengine wamwisho
2026-08-31 08:02:05
0
salloha_s
Salloha :
HII INANIHUSU ALHAMDULILLAH😂
2026-08-30 06:22:50
3
ashack49
Asha :
Umepattia yote
2026-08-30 17:17:07
1
amanimumbere905
Amani :
tunaji kaza sana😳
2026-08-29 16:54:42
4
user93696008703rem
Remmy❤🇰🇪 :
first born
2026-08-30 00:12:10
4
grace.chaula04
Grace chaula :
mimi huyu .toto wa kwabza
2026-08-30 16:06:28
1
samirasuleiman232
deeeda :
umejuaje
2026-08-29 15:21:41
1
elifuraha.yohana
gold boi :
kweli mtoto wakwanza
2026-08-29 14:23:28
7
mamamchina8
Mamamchina :
mimi.ni.wakwanza.lakn.siwezi.kukpa.pesa.wala.kuomba.msaada.na.naliaga.sana.hakunaga.wakunisikiliza.wakuniambia.pole hii.inaniumiza sana
2026-08-31 07:34:33
1
mamysayra
Sultana Mam .S.A :
Alhmdulillah namshukuru Allah yupo pamoja nami🤲🤲
2026-08-30 11:28:56
1
user3149772745773
user3149772745773 :
first born, changamoto ni Mingi
2026-08-30 07:47:40
1
user2811312608633
moms daughter :
first born mim ila point y mwish imeniusu kbs
2026-08-30 05:31:58
1
mercyjastinmariamseleman
mrs h :
Nilijahd sana lakin hawakujal kuhusu mim na saiv nimeamua kufany mamb yangu nawaangalia tu 😭😭😭😭
2026-08-30 05:58:13
3
marcela.mnonjela
Marcela Mnonjela :
mmh mboni mimi mtoto wa tatu kwenye uzao wa watoto sita na ndo hali hiyo imenikumba naishi hivyo najikuta ni binti mwenye majukumu mabegani mwangu sina hata kurelax hao wakubwa wangu haata hawajali kitu japo uwezo wao ndo ivyo lkn hawana moyo sioni hicho kitu.
2026-08-30 15:00:10
1
To see more videos from user @mr.smart.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About