ana nyota ya biashara na hajui, sasa nani yupo responsible kumwambia una nyota ya biashara tofauti na waganga?
2026-08-30 04:28:17
33
George black :
bwana yesu asifiwe wakristo wenzangu
2026-09-14 16:15:22
56
Al-magram Fuad :
nauliza hivi kwann serekali isitunge sheria kali kuhusiana na ushogaa🥺🥺 naumia sana jambo hili
2026-08-30 12:38:36
27
Anipher🦋 :
Unasema ukweli mtumishi tatizo hao unaosema nao😄
2026-08-30 04:52:37
30
mwalimu :
Biblia ilisema kuna wakati utafika wanawake sabini kwa mwanaume mmoja , nilikua siamini kumbe kweli maana wanaume ambao wanapaswa kuoa wanaolewa kwahio wanaume watakuwa wachache
2026-08-30 11:20:22
46
Fettyfatmer :
subhnaallah yarabb nilindie vijana wangu... yarabb tunusuru sie wazaz tunaumizwa ni hii hali😭😭😭
2026-09-22 11:50:10
25
momo beaut :
AI moves ndozimejaa adi naogopa kumpa mtt cm uki srow wanaleta
2026-09-14 05:59:42
13
mack :
kosa linaanza kwa mzazi
2026-08-30 06:59:26
14
iryham :
kuongelea hayo mambo ni njia mojawapo ya kuyatangaza... teleworking hilo
2026-09-02 16:16:55
7
Given Diana :
Najifunza mengi kupitia wewe Mtumishi, Mungu azidi kukutumia
2026-08-29 15:50:18
31
jtention :
kwa vijana wenzang......haijarishi tutapitia mangap wakuu tuepuke tamaa narudia tuepuke tamaaa ivo tuu....peace🙏
2026-09-04 10:32:50
9
Mamie :
Mara nyingi nikikuona tu nacukuwa kiti Nakaa ili nikusikilize tu , b bless 🫂
2026-08-29 16:55:27
13
Muhammad Wa5🕋 :
Wanaume Tunabaki wachache sana
2026-08-29 17:00:43
6
Mussa_kigomba :
Mnaosapoti haya mambo Mungu anawachikia sana na anawavumilia sana kwasababu yeye ni mwingi wa huruma na rehema. Sema nini wanaume wenzangu tumuishi Mungu pia tumuombe sana Mungu atulindie uzaowetu wa kiume😭😭😭🙏🙏🙏
2026-08-29 19:06:16
15
mndurumetz :
You tube mnatumia jina gani au chaneli gani niwafatilie vizuri
2026-08-29 17:37:58
21
Ev.vedasto tz :
kanisa lako liko wapi paster
2026-08-29 16:48:03
5
Letystore. :
Mungu tusamehee kwa yotee
2026-08-29 17:35:18
5
shaah :
m/mungu atufanyie wepes
2026-08-29 16:03:44
10
⚓ :
Muna tumia nguvu nyingi watakti wasanii wenu pendwa wote wanzunguka nao na mialiko wanapwa kwenye sehemu zao serekali imekaa kimya jamii inashabikia hao hao wasanii alafu mungu akipenda Baraka mwalalamikia serekali wakati wengi wawatu Wana mkasirisha mungu
2026-08-30 02:15:11
6
urocke23 :
Nilimwambia mtu kuhusu Hilo kuwepo jamii ya tamaa Ndio hii imechangia ongezeko saana wazee kizazi chetu kimependa mafanikio ya haraka utajiri ndio hivo
2026-08-29 17:13:47
8
To see more videos from user @godfrey_thedisciple, please go to the Tikwm
homepage.