@calistisimba: Kitabu cha kiapo kimemtetemesha Ndejembi Wakati akila kiapo cha Makamu wa Rais #ndejembi #akilakiapo #tanzania #makamuwarais #tanzaniatiktok

calistisimba✓
calistisimba✓
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 14:33:56 GMT
106451
3255
253
302

Music

Download

Comments

bau_fabrics
BAU FABRICS - CHAULA :
lazima utetemeke broo no matter what unless h have a heart like magufuli
2026-08-30 08:17:14
0
judey1013
Judey🇹🇿🇯🇵 :
the shacking makamu season1🤣
2026-08-29 23:21:13
0
tiwiii557
tiwiii :
nilijua tuuuuu kuna camera man wakujiamuliaaa😂😂😂😂😂😂
2026-08-29 17:31:01
53
theresiadamian785
Tedy.💥💖 :
Na huyu si mzanzibar inamana Raisi na makamu wake wote wanatokea Zanzibar duuh 😳
2026-08-30 05:50:46
40
steve47barnaba87
Steve 47 :
mnauhakika hiyo lafuz ni ya dodoma
2026-08-29 16:30:36
55
shabani.yanga2
Shabani yanga :
apo ukute hicho kitabu hakina mandishi ndani
2026-08-29 16:52:45
119
gold.hidden
Choosen one 🦋😇🥰🫡🙏🏻 :
kitabu cha merlin the dragon🤣🤣🤣
2026-08-29 17:24:14
16
neybreezy03
Neema Stephano :
nchi za wenzetu huko wanatuona Tanzania kama Comedian Kuanzia rais hadi Wananchi🤣
2026-08-30 08:14:16
12
yusuphmbega482
yusuphmbega482 :
atutaki
2026-08-29 20:32:42
0
sanstar92
Sanstär ⭐ :
Kubadilisha katiba haaa ila kubadilisha watu siku mojaa 😂😂😂😂
2026-08-30 01:19:46
14
salvation_tz
SALVATION📍 :
kwishaaaa
2026-08-29 17:25:36
0
daud0tz
D dragon shadow :
siku akiwa raisi huyu me naham nchi
2026-08-30 06:03:08
9
ladywinnie27
Lady winny ✈️🇺🇸💸 :
🤣🤣🤣unajua we unayecheka hapo ndo unanichekesha mimi😩🙈
2026-08-30 05:46:31
11
yakenja.aron
Yakenja Aron :
kwaiyo mama akifaliki huyu ndoanakua Rais kweli tunakazi kubwa aisee
2026-08-29 17:29:42
20
lucysimon49
Lastborn :
uzuri Bible haijatetemeka so tunajua shida sio mungu ila kuna mahali tu sipataji ila ndo kuna shida😂😂😂😂
2026-08-30 08:55:24
9
pascal.masaka4
PASSIAS :
angekuwa hayat magufuli hapo hana kazi
2026-08-30 07:20:45
9
latty046
@latty❤️💝 :
ataweza kweli huyu
2026-08-29 20:45:44
13
mwishowarelitanga
Mwishowareli Tanga :
mhhhhh!
2026-08-29 19:59:31
0
sagwangasa255
Sagwa Ngasa :
Ila hii nchi kama kiongozi anatetemeka hivi je ikitokea vita watatetea wananchi kweli
2026-08-29 16:39:26
32
mrisho.wangaro2
mrisho becca :
hamna mtu mwenyewe kitabu Cha katiba tukiibe
2026-08-29 20:40:01
6
itsmarco255
marco 255 🇹🇿 :
natfa mdada alie mimba nmpeleke clinic ili nipate net sababu Hawa mbu wataniua jaman🥰😂
2026-08-29 16:31:48
8
user0675055011
moses charles hossein mngano :
Vituko ndani ya nchi duuh😂😂
2026-08-30 08:39:24
4
mdundocode5
mdundocode :
nashindwa kuelewa
2026-08-29 20:48:53
4
aminamsomi3
user88547530612010 :
Apo kwenye katiba hapataki uongo
2026-08-30 06:19:31
2
zuu.chibeby
zuu chibeby :
mbona kama tumepigwa
2026-08-30 05:51:55
1
To see more videos from user @calistisimba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About