@cocofm: UDA YAWEKWA KWENYE MIZANI KALOLENI Katika mkutano uliowakutanisha wafuasi wa UDA na viongozi wao mjini Kaloleni, katika juhudi za kuimarisha chama hicho mashinani, haikuwa rahisi kumpigia debe Gavana wa Kilifi Gideon Mung'aro na Mbunge wa Kaloleni Paul Katana huku viongozi hao wakipata wakati mgumu kuwatetea jukwaani. #MionziyaCocoFM #COCOFM #ladhayapwani

COCO FM
COCO FM
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 29 August 2026 14:49:03 GMT
25835
802
42
69

Music

Download

Comments

user46157920098121
Braviam Xdouble6 :
one term.....😂🤣🤣
2026-09-01 06:57:45
0
irene.chirindo
Irene Chirindo :
Tunateseka na maji na hamshuhuliki wantam
2026-08-29 17:46:29
10
user7221711217207
user :
ODM Na UDA Ni vyama mazishi
2026-08-29 21:42:19
1
josephkenga999gma
[email protected] :
Hizo pesa nyingi wale wao lakini ss tunataka maji stima na bursary
2026-08-30 13:50:53
0
32836739edu
Edwin saisi :
mbona citizen iwezi leta news kama hizi
2026-08-30 19:07:23
0
user5812344967580
user5812344967580 :
kaloleni hakuna maendeleo barabara ya kaloleni,mwabayanyundo,mwanamwinga,kinarani kwademu mumeisahau miaka yote
2026-08-29 15:56:22
4
kidevu.mwenye
KIDEVU MWENYE :
USIMTAJE RUTO
2026-08-29 18:05:46
1
pherrick.mapenzi
Pherrick Mapenzi :
Pk aende home mapema
2026-08-29 16:48:55
1
mdanta254
MDANTA254 🇰🇪🇺🇸 :
It’s boiling hot 💯
2026-08-29 17:07:41
0
user3605281555918
user3605281555918 :
Hakuna kubeba punda tena
2026-08-30 06:51:57
2
user337436644151
user337436644151 :
baha Jumwa
2026-08-30 20:45:08
1
lameckokuto
MeckyLameck Okuto :
lolani lonng tyme umepotelea wapi?.
2026-08-30 19:27:33
0
murangambaruku
Muranga Mbaruku :
@wantam
2026-08-30 07:56:56
1
pherrick.mapenzi
Pherrick Mapenzi :
Kabisa...baha Jumwa
2026-08-29 16:51:10
4
pherrick.mapenzi
Pherrick Mapenzi :
wote ni shida tupu
2026-08-29 16:49:33
1
mrembo.wa.a.j.k0
mrembo wa A.J.K :
baha jumwa
2026-08-29 16:58:21
1
user46157920098121
Braviam Xdouble6 :
ivi ndio inafaa pk ametubeba ufala ii group yote iende.
2026-09-01 07:10:08
0
kapasho1
Kapasho :
Mchezo wa Town waliucheza hao jamaa wa UDA...Kaloleni na Kilifi ni ngome ya ODM na itabaki kuwa hivyo...ODM ndio inaweza kumsaidia Ruto hapa Kilifi but hao watu wa UDA wanafanya kazi bure.
2026-08-30 04:45:56
0
babaz395
babaz :
jumwaaa
2026-08-30 06:10:35
0
ruakombekombe
nzainzai :
watu wame shtuka acheni siasa duni na uongo kibao
2026-08-30 11:06:09
0
snaj254
Rachael Snaj Moleh :
Baha Jumwa
2026-08-30 05:40:50
0
yentoonfleek
Yento :
2026-08-30 18:01:03
0
mary.uchi6
Mary Uchi :
🙏🙏
2026-08-29 18:50:36
0
To see more videos from user @cocofm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About