@maumahir2018:

mahirmau
mahirmau
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 29 August 2026 15:03:49 GMT
6685
501
16
56

Music

Download

Comments

mashaallahul_1
Mashaallah :
mazazi ya mtume ni mazito sanaaaa ila tusijisahau kwa kulinganiaha na usiku wa lailatul qadiri, huu umetajwa na siku ya kuzaliwa mtume haikutajwa ila ndio kosho au mkono wa kukupeleka kwa allah
2026-08-29 22:33:37
2
saifsaify20
saifsaify20 :
Wanawachuoni ni nani zaid ya allah alosema ktk quran lailatul qadr khayrun min…..sasa wanawazuoni sie tuwasililize vp zaid ya kumsikiliza mungu.mashekh mtihan.lailatul qadr ni bora zaid
2026-08-30 05:14:07
1
juma.swalehe1
Juma Swalehe :
Asante san shekh
2026-08-30 07:46:42
0
diga.lise
Diga Lise :
ikiwa imamu shafii alisema ikiwa maneno yangu kama yagongana na aya zamweezimungu na suna zabwana mtume tupilieni mbali jee hili na mwana tuoni kusema usiku wakuzaliwa mtume ni bora na mwenye ezimungu ametuambia lylatulqadir ni bora tushike wapii jibu unalo mwenyewe msikilizaji
2026-08-30 07:16:39
0
suleiman.abdulrah21
Suleiman Abdulrahman :
mie cna elimu nalo hilo
2026-08-30 06:25:49
0
user1937696847274
NS Aibu osman$$ :
Alla atuongoze
2026-08-30 04:00:25
0
alifaki811
ali :
ma Sha Sha kweli kabisa sheikh and jaazaakallah kheira
2026-08-30 04:39:41
0
hajitahamakame
Bin Taha Aljunayd :
shida ufahamu
2026-08-30 03:14:09
1
mukoko1980
ziaudeen maryam :
subhanallah
2026-08-29 18:57:06
0
seetiy_said
Seetiy_said :
SUBHANALLAH
2026-08-29 18:54:19
0
thee_arabian_spoiler
Abdub m kara :
subhanallah
2026-08-29 18:24:58
0
mahara9755
mahara :
bila yamtume laminate kadirhingeshuka kwako uzaziwamtume ndio kilakitu kablayakuzaliwa mtume qurani hisingeshuka kuzaliwa kwamtume ni bora
2026-08-29 19:29:49
0
mwachanze4
Mwachanze :
Subhanallah Allah awaongoze watu w bidhaa ni waovu sana
2026-08-29 22:08:08
1
user3759613752313
Raj :
kwani mtume alizaliwa akiwa na Utume?
2026-08-30 03:53:30
0
abdallakhamis446
AMK :
Masheikh wa Tanzania 🤣🤣🤣mwengine alisema Bibi Khadija alikuwa Mshangazi 😟😟😟
2026-08-30 03:52:31
0
user5522179568887
Abuu Sumaiya Ali :
Jameni Hii dini inakwenda na dalili haiendi kwa akili zetu. mana wengi twaongea kwa akili zetu. Allah yuasema lailatul qadir ni Bora nyinyi mwaongea kwa akili zenu.
2026-08-30 04:23:53
0
To see more videos from user @maumahir2018, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About