@ibrahimbanka22: ANSWAR-MUHAJIRINA..soon juma fakk AQAZ STUDIO #livehighlights #livehighlights

ibrahimbanka
ibrahimbanka
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 15:15:41 GMT
18074
1832
64
62

Music

Download

Comments

user3847092999444
user3847092999444 :
Allah,Allah,Allah🌹🌹🌹🌹
2026-08-29 18:30:55
0
muungwana24
muungwana24 :
Dah kipindi cha mwanzo tunaisikia hii kaswida wengi wetu tulikuwa na wapendwa wetu lkn kwasasa wametangulia Allah awape msamaha hururuma na nuru katika makaburi yao Aaamin
2026-08-29 17:42:39
15
sabra_cake81
sabra_cakes,bites&snackes. :
watt wa 2000 tumewaacha mbali hapa😁
2026-08-29 17:21:27
10
rahmanir17
Rahmanir17 :
Qaswda pendwa ya dada yangu🥰ila wazanzibar nawapenda sana ndugu zangu munajua kuimba qaswda bwan🥰😍
2026-08-29 20:41:20
2
tauhida.all
Lastborn :
Mdada mweny spika anaitwaje
2026-08-29 15:19:39
2
arnan3489
arnan :
divan smart
2026-08-29 17:17:25
0
mamybeauty2
mamybeauty2 :
Masha Allah umenikumbusha chuo chetu mzambarauni takao kwa marehm bisada Allah amrehemu 🤲
2026-08-29 19:23:37
1
user9925106995665
user9925106995665 :
mashallah.
2026-08-29 20:14:07
0
mustafa.baraka2
Mustafa Baraka 💪💪 :
مشاء الله تبارك الرحمن
2026-08-29 20:07:34
0
babel7854
babel :
mkiambiwa birhday bidaaa hamuamin😁
2026-08-29 20:51:28
0
rayfat.al.minzry
rayfat al minzry :
Hiiii kaswida Ilikuwa nasomaga chuoni 🥺🥺
2026-08-29 20:41:58
0
user4201539858878
user4201539858878 :
Mulisom.Mulikua vidog asaiv mumeirudia mushakua wabab mashallah
2026-08-29 20:05:51
0
ukhtysaum
ukhty saum🧕🥰 :
Masha Allah jummah fakky hajawai kosea🥰🥰👌
2026-08-29 15:24:08
0
mshambawavideo1
MSHAMBA WA VIDEO🤣 :
Faki Mbarouk anaikumbuka vyema hii maan aliimba mwenyew akiwa katoto kadogo sana.
2026-08-29 20:58:34
0
fatmakhalfan97
Muslim :
mashallah...mm huku jmn mnanimaliza kw qaswida tamu aaah🥰
2026-08-29 18:26:51
0
khulaydkhamis
khulaydkhamis :
Balaa jipya mjin 🔥
2026-08-29 19:58:26
0
bbyruu04
🌹bby ruu 🌹 :
nakumbuka mbal Sana chuon kwetu tomondo kwa mwalim hamad almaarifaaaa islamiyaaaa nimewakumbuka Sana ndugu zang
2026-08-29 21:08:40
0
suleyumjanja1
suleyum janja :
ukiskia vya kale dhahabu ndo hii sasa 💪💪
2026-08-29 18:26:24
0
user4576312521515
mariam :
zamn san
2026-08-29 18:22:23
0
user1632126868704
user1632126868704 :
kumbe wanamkaribish shekh wao
2026-08-29 17:59:54
0
user3161834518672
user3161834518672 :
zanzibari kunawahisilamu walio shika dini.Mungu sianiajalie mwema wa uko nimpate yarabh
2026-08-29 21:13:06
0
lalamally
lalamally :
MashaAllah 🥰
2026-08-29 22:33:01
0
abdulhamid.juma4
Hamid Juma :
Hapa imezidi utamu kuliko mwazo 🥰🥰🥰
2026-08-29 18:15:36
0
user49395452475675
user49395452475675 :
izi ndio kaswida bwana weee
2026-08-29 18:22:54
0
mwanaomar.nchalik
Mwanaomar Nchalika :
mashallah
2026-08-29 15:58:08
0
To see more videos from user @ibrahimbanka22, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About