@sheikhmuhammad.uchambuzi: Je maulidi ni bidaa Na bidaa ni nini?

Sheikh Muhammad (UCHAMBUZI)
Sheikh Muhammad (UCHAMBUZI)
Open In TikTok:
Region: DE
Saturday 29 August 2026 15:17:43 GMT
32249
1422
172
105

Music

Download

Comments

adan.yussuf4
ADAN YUSSUF :
Birthday celebration is different from Moulidi.Poor reasoning...
2026-08-29 16:36:25
0
sallyblink10
Sally :
mashallah good advice bro am frm kenya
2026-08-29 16:07:00
2
highstakes_ml
2ml :
Perfume is not related to the deen
2026-08-29 19:26:33
0
nuran871
Jumbe jr🌍🌍 :
mtume alishoot video.?
2026-08-30 08:42:24
0
kaskazinomads
i_am_mtwapa. :
you are confused there's bidaa in the context of language as innovation and Bida in terms of fiqh , Celebrations is ibadah and maulid as a ibadah is bida.
2026-08-29 17:04:13
10
bobobrain819
💯bobobrain_05💎 :
katika uislam:Ibada yoyote asili yake ni Haram isipokua kuwe na ushahidi wa kuihalalisha Ibada Ile+ na vitu vyote asili yake ni ruhsa mfano, kujitia Mankato, isipo kuwa kuwe na ushahidi wa kukiharamisha. swl-je maulid ni Ibada na kama Ibada Kuna ushahidi wa kuihalalisha maulidi?
2026-08-30 04:59:15
5
alzoboytz
umeme 001 :
kutumia cm bidaa
2026-08-29 18:18:35
3
alikhamisi2
alikhamisi2 :
Basi tufanye Maulidi ya Hassan na Hussein pia
2026-08-29 17:06:48
3
alibinali023
alibinali023 :
Bidaa ni katika ibada, sio chochote hakufanya mtume , bida inausika tu katika ibada Sheikh
2026-08-30 07:54:30
3
lomydisinery
LOMY Disiner :
somo zuri sana
2026-08-29 16:03:47
3
baghabagha.ingwen
Baghabagha Ing'weng'we :
aya hazikuwa pamoja baada ya mtume kufa zikakusanywa zikawa msahafu je ni bidaa?
2026-08-29 17:33:08
3
swahib876
young swaah :
na mauridi ni kwenye din au nje ya din
2026-08-29 16:35:13
0
077mk5
Ibrahim :
hyoo sio hojaa ya msingii tunazugumzia dini hpaa
2026-08-29 18:06:46
1
iron.man293
Iron Man :
CHENYE KUASHIRIA IBADA NDIO BIDAA SIO KILA K2 NI BIDAA👈
2026-08-29 20:41:02
0
yamal3842
yamal :
mtume muhammad hajakuja kutufundisha kucheza ngoma (maulid)
2026-08-29 18:48:10
1
issa.nina5
Issa Nina :
upo sawa habib wataelewa tu
2026-08-29 18:35:54
1
aljaziira.islamic
ALJAZIIRA ISLAMIC CENTRE :
Kuna Ada na bidaa, Kuna mambo mengi ya ada tunayoyafanya ambayo ni yenye kupendeza kama malashi, ndege, biriani, n.k.Lakini mambo haya ya kiada inategemea unayafanya kwa nia ipi, ama bidaa ni kuleta jambo katika dini ambalo halipo katika mafundisho ya Qur'an, sunna za Mtume S.A.W pamoja generation tatu bora. Sasa unaeenda Maulidini jihesabu mwenyewe umetumia dalili ipi au ushahidi wa mafunzo yapi
2026-08-29 19:06:02
2
mbui326
BHUI_JR06 :
mtume alijipulizia manukato ambayo ni mafuta ya miski na hizi purfume c ni manukato au nn
2026-08-29 21:46:51
0
kontawa_.8
Kontawa :
izo ndege unazosem kwel ilikuwa hakun lakin qur-an imeeleza Kil kitu man mtume s.a.w aliambiwa n Allah Kwamba ewe Muhammad s.a.w Leo unaona hivi vipand bc zitafik zam ambazo kutakuwa n vipand vyengine kabisa n sio hivo(Tusomeni jamani)
2026-08-30 03:23:14
0
beccajr03
Mtumba_Becca :
Kwahyo maulid SI katika Dini, Maash'Allah maana yake watu wamejiamulia Lakini SI katika Dini
2026-08-29 20:50:16
0
maziwa112
Maziwa :
Asalamalekum brother wacha kupoteza waislamu
2026-08-29 16:46:07
3
takdirmahmoud
Takmar🇹🇿 :
Ndege sio dini
2026-08-29 18:06:44
1
kichasi
kichasi :
sheik nilkuwa nakufollow vile ulivoangazia Kwa upana mas'ala ya Iran. usuli wa ibada yoyote ni kharam isipokuwa kuwe Kuna dalilili ya kuhalalishwa kwake. na upande wa vitu, usuli wa vitu na vyakula vote ni halali isipokuwa kuwe Kuna dalili ya kuharamiswa. Kwa hivyo usichanganye ibada na vitu ama vyakula. sisemi kwamba maulidi ni haramu, isipokuwa mpaka tupate dalili ya kuhalalishwa kwake.
2026-08-30 07:05:56
1
user44287751906
mzasha :
tukizungumzia bidaah tunazungumzia katika dini
2026-08-29 17:30:41
1
diza6221
diza :
lililo la ukweli laeleweka kwa hakika umezungumza point japo mimi sio shia
2026-08-29 16:49:40
1
To see more videos from user @sheikhmuhammad.uchambuzi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About