@mzeeboscomwambawatibaha:

MZEE BOSCO 😂
MZEE BOSCO 😂
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 15:29:30 GMT
3986
183
34
47

Music

Download

Comments

amir.auto.works.07
amir auto works 0747883913 :
ukovizuli
2026-08-30 05:43:17
1
fikiriemanunuel
Fikiri Emanunuel :
mzee mwenzangu leo umemaliza 🙏
2026-08-30 03:36:56
3
mkasiwa80s
mkasiwa :
Umeongea point sana. Kuna watu hawajui historia halafu kila siku wanajifanya wanamjuaa Nyerere.
2026-08-31 05:20:14
1
khamismanywele
Khamis Manywele :
fact
2026-08-30 03:46:47
2
moshi.sadara
Moshi Sadara :
Mzee upo vizuri sana
2026-08-29 23:03:39
2
arsene.makonga6
Arsene Makonga :
safi sana tusiojua tuna changamot9
2026-08-30 13:15:01
0
user72394190605690
user72394190605690 :
MZEE BOSCO NAKUPA 100%...RESPECT....
2026-08-29 22:51:00
1
jumakapilima
Jimmy :
facts
2026-08-30 05:30:40
1
adammuki696
muki :
ndio Bosco nakuelewq sana
2026-08-29 17:29:08
1
user6165028372257
KUMBILA :
umenena vyema mzee
2026-08-30 19:52:42
1
godwiniabelkasomo
godwiniabel :
baba Asante, nchi hii inalindwa na sisi wote na si majeshi na serikali.wajifunze kitu hapa na si kwa ubaya.
2026-08-30 11:31:08
0
ashm1232
ashm :
wambie ukweli wamesahau jumbe au kwakua katawala samia wambie ukweli
2026-08-30 06:12:09
2
sugu6362
sugu :
Daaah mzee Bosco una kitu kikubwa sana Wallah! Namkubali sana Dotto Magali kwa kuwasalimia wasomi kwa kuwa anajua wanajua lakini wanafikiri hatujui kama wanajua! wanataka kutuchanganya. "WASOMI HI"!!!!
2026-08-30 10:48:48
1
maduka1093
maduka10 :
kaka wakumbushe kina kasangatumbo Oscar kambona walipitia mambo gani?
2026-08-30 16:09:37
0
makubuli.bin.tamb
Makubuli Bin Tambwe :
safi sana mzee bosco unajua mpaka umepitiliza
2026-08-30 07:05:10
0
mungarealestate
Munga Real Estate :
Mzee Bosco unamadini sana yaani yaani watakuelewa sana.
2026-08-29 17:07:11
1
user72394190605690
user72394190605690 :
Umesema ukweli
2026-08-29 22:51:39
1
cleartzboy
cleartzboy :
mzee upo sahih lkn kina warioba wao hawapingi utawala bali wanataka maboresho ktk tawala zilizopo
2026-08-29 20:00:59
1
nassoro.mkwanje
Nassoro Mkwanje :
Upo sahihi SANA haya hayakuanza leo Mbona Warioba hakuhoji wkt Jumbe anapigwa pini milele pia kina Kolimba Seif nk Leo anahoji katiba tume huru wkt Warioba ndiye aliyehusika kutunga katiba hii Kuhusu utekaji mbona juzi tu kpnd cha Magufuli ulishamiri mbona huyu WARIOBA hakumsanua Magufuli au kwa sbb ni mkatoliki mwenzake au Kanda ya ziwa mwenzake?
2026-08-30 06:14:13
1
user818263508440
user818263508440 :
Kwa hili mzee nakupa kongole. Msema kweli mpenzi wa mungu.
2026-08-30 00:34:27
2
mohammedabass4521
Mohammed Abass :
hatari sana hiki kichwa
2026-08-29 21:23:26
2
jomba.chama
Jomba Chama :
kweli hawa wazee ni shida, watatuacha vbaya WALIOBA mlevi hata REMY ONGARA alimuimba huyu mzee Mlevi
2026-08-30 05:20:20
1
taiyoungallysonmo
Taiyoung Allyson Mono :
ssa wanaosomea tiktok wataelewa mambo ya kizuizunii.. kigamboni
2026-08-30 20:29:09
0
hassan.mtiifu
hassan Mtiifu :
Hapo chacha, Wezee wa hovyo sana Hawa,,,,Wanafumba jicho Moja kwa Maslahi Yao, lakini hawaelewi kuwa Nyakati hizi watu tunawazumu tu
2026-08-30 20:56:23
0
bimganga88
bimganga :
Pini aliyopigwa Jumbe wameizimia data.ama kweli hawa upande wa pili wabaya sana
2026-08-30 05:23:46
1
To see more videos from user @mzeeboscomwambawatibaha, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About