msaada jamani nina muda sijatumia smart ndo imekuwa hivi ?
2026-08-29 19:10:02
2
tendeni ibada :
apewe kazi huyo
2026-08-29 18:41:06
4
Young hustler :
Daah k ngap huyooo
2026-08-29 18:57:08
1
kidude :
mpeni kazi huyo
2026-08-29 18:30:52
5
〽️ONG'O :
dogo anajiamulia mambo sana
2026-08-29 18:10:39
5
Logistics Expert🚢🚍🦺🇲🇼🇿🇲 :
wa wapi uyo
2026-08-29 18:08:26
2
Adiwa@# :
Daaa huyu dg nimemuona Iringa leo anapandisha road ya TRA akitokea mitaa ya Ilala nilishangaa ila nikaona mayb kaingia kwa level ya form four, yuko anajiamn fresh road na ni town
2026-08-29 19:01:17
1
@DEE 🦁 CHIA :
😂😂
2026-08-29 19:06:16
0
SALVATION📍 :
sema hamuogopi mtu hapo😂😂😂
2026-08-29 18:43:32
7
SENDO KWA BEI POA 🫰🩴👑 :
ila bongo Kila kitu kinawezekana 🤣🤣🤣🤣
2026-08-29 19:34:37
1
harson :
kujiamulia mambo🤣😂
2026-08-29 19:18:55
0
BOB ALLY :
Mpeni Ajila Uyo
2026-08-29 19:04:45
0
plumber girl🛠️🥰 :
mtu katimiza ndoto zake 😀
2026-08-29 19:07:05
0
Ayzaq Sayd427 :
uyo mwizi au ni askar mbn mnatuchanganya
2026-08-29 19:08:32
0
To see more videos from user @kido4vegasi, please go to the Tikwm
homepage.