@paradise.hope_tv: Maneno ya baraka #tiktoktanzania #fypシ゚viral__

Paradise Hope Tv
Paradise Hope Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 15:59:28 GMT
22879
961
20
63

Music

Download

Comments

amye.nundu
Amye Nundu :
Ameen Baba
2026-08-30 03:47:40
1
ns9822
sj$ :
kwa kweli hayo maneno ni makali sana hata mm yamenitoa machozi maana hicho ni kiapo au maagizo magumu sana nipende kutoa shukurani zangu za dhati kwa mh. rais samia suluhu hassani pamoja na kamati kuu serikali kuu pamoja na bunge kwa kuwa na maono ya mbali kwa kutuletea kijana mwenzetu kijana muardirifu kijana mchapa kazi na msikivu 🙏
2026-08-30 07:10:51
1
winluckymwanga
user1489036471253 :
wanga wamekutana kwenye kikao chao
2026-08-30 10:45:20
0
user9461765523547
Suleiman Jabir :
ukimfunda saana, ataharibikiwa!!
2026-08-30 11:01:50
0
sophiaalex2424
magesa secretarial services :
mtu mziwa dawa ndo hii. maneno mazuri sana
2026-08-30 10:49:01
0
ngega.mageme.golo
Ngega Mageme Golo :
hii ndo maana ya mutu munzima mungu kubariki munzehe kabundi
2026-08-30 10:27:51
0
jey.3892
jey 3@ :
uhakk mung amsimamie asiwe km wale ..........
2026-08-30 05:37:22
0
coelestinestephan
coelestinestephan :
nukuu. waliodhani wewe ni dhaifu kumbe ndo nguvu yako
2026-08-30 05:32:57
0
2011beeen
MTU kutu mweusii 2011 :
Hakika mungu hukinuwa kilicho dharauliwa na hata Deo hukujinua kwa lolote mbele za wanadamu na MUNGU amekuinua kwa kupitia mama Samia na uende pote busara ikutangulie popote na hekima ikawe pembeni yako na mungu akawe mshauri wa magumu yote na unyenyekevu iwe silaha Bora maishani mwako Amen
2026-08-30 07:10:04
0
user1169270037681
gipson lister mkwawi :
Amen 🙏
2026-08-30 04:16:03
0
user261170476137
Leila ndejembi :
mwenyez mungu akubalik san baba et Asante Kwa usia wako ni maneno mazur yeny busar na hekima yaliyojaaa maumiv ndan yake 🙏🙏🙏 sisi kama family tunakuombea kaka et mungu akutangulie ktk kila hatua na akufanyie wepes kila jambo na akupe Hitaj la moyo wako kaka ang 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 tunakupenda san ❤️❤️❤️
2026-08-30 06:16:46
1
dm_weldwork255
dm_weldwork+255 :
Njaaa mbaya
2026-08-30 04:53:51
1
fkrutta
fk rutta 💛 :
chama kimenyoooka hla viongozi niwa viini macho
2026-08-30 11:16:23
0
chapo5159
chapo :
ss machozi ya nn mtoto wa kiume
2026-08-30 08:16:47
0
jey.3892
jey 3@ :
hakk hiy ni zawad bx mlipen mama furah
2026-08-30 05:37:54
0
user4610529052180
IPHONE 16 :
namuna mwafa apo
2026-08-30 04:34:12
0
denisemmanuelkomb
2026-08-30 03:30:59
0
rashyedchande
Rashyed C Rashid :
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2026-08-30 11:20:45
0
To see more videos from user @paradise.hope_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About