@kimluxefurniture: ✨ PREMIUM FURNITURE | ELEGANCE & QUALITY Tunatengeneza na kudesign furniture za kisasa zenye ubora wa hali ya juu 🛋️ na finishing ya kitaalam inayoongeza thamani ya nyumba | ofisi yako | Apartment ♟️ ✔️Kukupa muonekano mzuri Ndani kwako ✔️Ubora wa hali ya juu ✔️Design za kisasa & finishing safi 📍 Location:Dar es Salaam & Morogoro 📞 Call / WhatsApp: +225784045898 ...🚚We Delivery Services,,,Tz 🇹🇿 #trending #furniture #tanzaniantiktok🇹🇿 #viraltiktok #creatorsearchinsights
Hela sina na watoto wangu ninavyowajua nitawakuta humo polini wallah
2026-08-30 13:16:18
510
shangaz :
nikirudi nna hangover iyo meza italala nje
2026-08-30 17:14:58
185
kelvinsky205 :
kucheza na one way glass na mirror
2026-08-30 19:07:16
1
Madam baby ❤️ :
Shngp mpo wap
2026-08-31 01:21:00
1
Phadi255 :
Nimeipenda shida ni kwa hawa spiderman wangu ntawakuta humo porini wanatafuta barale😂😂
2026-08-31 06:41:01
131
Masha store💫 :
Siku ya kwnz kuinunua lazima niote nadumbkia shimoni😂😂😂😂😂😂
2026-08-30 09:52:54
97
Aura Qeen :
Ifike mahali na mm nianze kuishi niache kuishia😂
2026-08-30 08:37:52
47
Miss monie🥰 :
Iyo meza nikiwa nayo nkirud home nimelewa naeza nkajirusha uko😂😂
2026-08-30 20:17:25
38
that girl💙 :
Shingapi
2026-09-01 12:31:07
1
sophia_sabule :
Labda single people😂😂
2026-08-31 15:38:10
1
Rommy_outfits :
haya majani nakuwa naweka kila yakikauka
2026-08-31 10:49:37
11
Mamtee76 :
Ndo nn unanitisha jmn 😂
2026-08-31 13:13:43
1
MR. TESHA :
shiling ngapi? na mnapatikana wap?
2026-09-01 08:52:15
1
deecharms5 :
Kwan n nn iyo?
2026-08-31 18:40:24
1
minahmaja1 :
Nzuri sana ila tatizo wanangu Wanangu Jamani ni watafiti sana 🙌kwanza watataka kujua kuhusu hizo taa zinawakage na kuzimaje pili watataka kujua kwa nini msitu upo ndani ya meza yani🙌
2026-08-31 11:03:31
16
bae salicious🐹🌺🐹 :
inatisha😂😂😂
2026-08-30 18:51:24
2
Jemmy :
Ndo yake hiyo unayo na shngap
2026-08-30 09:27:07
7
𝒜𝓃𝑔𝑒𝓁🥰🌸 🎀 :
Nilikua natafuta sana mtu anaeweza hii nakuja aisee 🙏
2026-08-31 17:52:17
1
ms-happie2512 :
hayo majani inakuaj
2026-08-31 12:05:44
2
Jackychuwer :
Bei
2026-08-30 15:44:56
1
Six❤️🩹 :
Naitaji kujifunza ii tajir
2026-08-30 18:01:02
1
Moxiescent_tz :
Mko vizuri jmm
2026-08-30 17:29:33
1
Kaka_Mchoraji😇 :
bei gani hii
2026-08-30 16:58:47
1
To see more videos from user @kimluxefurniture, please go to the Tikwm
homepage.