@ramadhani.w.mkalagale: HAWA NDO MAWAHABI NA UWAHABI WAO, SIKILIZA FAT,WA HIZO. #100MILIONSVIEWS #oman🇴🇲 #iran🇮🇷 #iran🇮🇷 #trend #tanzaniantiktok🇹🇿 #dubai🇦🇪 #timermedia #timermedia #saudiarabia🇸🇦 #kenyantiktok #kenyantiktok
Timer Media
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 16:12:34 GMT
Music
Download
Comments
Abal Ajami :
UFAHAMU NI RIZKI wenzetu wamenyimwa
2026-08-29 16:29:53
11
Ibun Kitenge 16641 :
Nikweli elimu haiondolewi ila kwa kuondolewa wanawachuoni.
Allahumma ighfir lahu warhamhu wa adekhilhuljannat 🤲🤲🤲
2026-08-30 05:29:15
12
@AbuuAynurOmarMaleta :
mimi ni miongoni mwa Wahabi ,na naupenda sana ,na Allah atujalie tuwe kwenye misimamo ya Uwahabi😅😅
2026-08-30 18:00:55
7
Badawiy Media :
BABA FAHAD ABDALLAH OMAR TUMBO 😂
2026-08-29 18:58:29
4
مغمب صالح سيف مجنغ :
Allah amrehem mzee wetu duu
2026-08-29 19:17:10
3
Hijjah Boy Tz :
ALLAH amhifadhi shekh wetu kasim mafuta hakika elimu yake ni sababu ya Mimi kubadilika na kuacha maovu mengi sana
2026-08-31 12:10:05
3
machala :
mungu amrehemu shekhe wetu
2026-08-29 22:12:42
3
OMARI KHAMISI :
Allah amrehemu sheikh wetu na aliingize nuru kaburi lake!!
2026-09-01 03:34:35
2
Muhammad Abdul wahab :
leta muendelezo tunasubiria 😳😳
2026-08-29 19:55:17
0
Hassani Mwaangeze :
Wallaah nikweli
2026-09-02 07:03:46
0
Abuu Mujtaba Mwinyiwiwa :
asa hivi aliko ameujua ukweli
2026-09-23 15:23:49
0
Salama Juma :
Rahimahu llah
2026-09-14 07:40:18
0
abdallah25455 :
Je ishara gani za Allah ambazo wamezikataa hawa Masufi?
2026-08-29 23:00:17
0
Hussein albuhry💦 :
almarhum sheikh mohd iddi mohd iddi💥
2026-08-29 16:19:38
8
Amigo :
show off vitabu vingi
2026-08-30 20:53:50
0
yuzy chand :
daaah kwa hakika umetupa elimu kubwa sana leo juu ya hawa jamaa zetu 🤣🤣
2026-08-29 20:45:18
2
Mansoor :
afu mie niwe wahabi
2026-08-30 12:32:46
1
abuu abduli wahabi issa :
mwenye alimua anamjua kassm mafuta ninani
2026-09-05 07:54:47
0
salafi tz :
kaweka vitab vyote hapo ili kutisha ama
2026-09-16 00:49:34
0
abuu abduli wahabi issa :
nmepotezamda kuku sikiliza kumbe izi porojo zilisha jibiwa mda
2026-09-05 08:01:42
0
Msangi jr :
mimi pia nampenda sana imamu Muhammad ib abdil wahabi ,hapendwi na masufi na washirikina ,watu wa sunna wanampenda sana wahabi
2026-08-30 11:15:57
2
user1346917625392 :
😄😄😄
2026-08-30 09:05:06
0
Athumani Mshihiri :
🔥🔥🔥
2026-09-18 17:24:55
0
To see more videos from user @ramadhani.w.mkalagale, please go to the Tikwm
homepage.