@anesstoolsmachines: UNATAKA KUCHIMBA MASHIMO KWA HARAKA BILA KUJICHOSHA? 💪🏽 Hii hapa Earth Auger ya petrol 🔥 — inakusaidia kuchimba mashimo kwa haraka na kwa ufanisi. 🛠️ Ina majembe 3 tofauti: ✅ Inch 6 ✅ Inch 8 ✅ Inch 10 Inafaa kwa: 🌱 Kuchimba mashimo ya kupandia migomba na mimea mingine 🏗️ Kuchimba mashimo ya kuweka nguzo 🌾 Kazi mbalimbali za kilimo na ujenzi. ⚡ Inatumia petrol na inafanya kazi kwa speed kubwa, hivyo inapunguza muda wa kazi na uchovu wa kuchimba mashimo kwa mikono. BEI: TSh 420,000 TU 📍 Dar es Salaam – Kimara Baruti 📲 Piga simu/WhatsApp: 0657713343 Kama unataka kazi iende faster, Earth Auger ni chaguo sahihi! 🔥 #EarthAuger #EarthDrill #PowerPro #AugerMachine #PostHoleDigger