Serikali inakwepa majukumu mapemaa ndo serikali yetu cha msingi tuombe mungu hizo mvua Allah azishinde nguvu zisiwe kubwa kama zilivo tabiriwa badala yake ziwe za kiasi na za neema na baraka aminaa
2026-08-29 19:19:03
133
Pink mellow :
Mkoa wa magharib ndo mkoa gani
2026-08-30 06:59:11
15
softy 13 :
ya rabb tuepushe na mabalaa makubwa na madogo
2026-08-29 19:22:49
22
Ahmad :
Waende wap?
2026-08-30 03:20:59
5
Dida :
Twende wapi jmn 🥺
2026-08-29 21:21:48
3
Shazira Hamiss :
allah atulinde
2026-08-29 18:54:48
3
Anna🤑 :
hakuna awezae kuizuia ghadhabu ya MUNGU
2026-08-30 07:03:03
7
jenipha Noel :
sasa habari ya ZANZIBAR mnailetaje bongo
2026-08-30 14:12:51
0
Khamis Alawi :
kama hawana jamaa je?
2026-08-29 18:13:24
6
adrakanir24 :
Nyerere tuko Salam lakin
2026-08-29 19:30:12
4
ANILLIYYAH❤️ :
Watu wahame ata mvua yenyewe haijaanza kunyesha ! tuacheni Tunasubiri ushahidi kamili mpaka tushuhudie kwamacho yetu ndipo tutaacha ndala mkuuu 😁
2026-08-29 23:10:28
8
Agape ♥️🇹🇿 :
mkoa wa magharibi ndo wapi mi sielewagi nijue yaweza kuwa na Mimi nipo kwenye hiyo mkoa hiyo na siju
2026-08-30 06:37:28
4
aisha :
huomji upo wap embu tuambien mnatuchanganya ban
2026-08-30 12:53:47
0
nawwar sultwaan :
tuje tukae majumbani kwenu kama raha 🤣🤣🤣😂🤣🤣hi nchi yetu imetoboka pahala si bure yaani baada serikali kama serikali itengeze maeneo maalumu ya kujihami wananchi wao ili ionekane kama serikali imechukua juhudi na kuwajali wananchi wao ety watu wakakae majumbani kwa ndg zao Kuna wengine wajane Kuna wengine ata hawana watu Tena Kuna wengine hawakaliki lakini kwakua serikali ishaamua ety watu wasipoondoka kwa hiari wataondoka kwa lazima sawa akuna shida na nyie mutaondoka lakini hii sio sawa maisha yenyewe magumu hii haiko sawa
2026-08-30 05:11:47
6
Zuuh🦋💕 :
magharibi ndo wapi sasa isije ikawa nipo magharibi na sijuh😳😳
2026-08-30 12:48:52
4
AMZA🇹🇿👸🔥 :
Hii mvua itanyesha Tanzania tu au ata nchi jiran
2026-08-30 11:34:26
0
adrakanir24 :
Lin hiyo tena
2026-08-29 19:29:23
0
chimoo :
Mungu yunae na tunatamba nae tuacheni
2026-08-29 20:39:59
2
By_teeraj :
Zinaanza Lin kwan?
2026-08-30 08:09:11
1
Atsalsule :
hapo mji mkongwe ipo siku watu watalia , hayo majengo ni hatari kuwa makaaz ya wat baadh yao
2026-08-30 10:20:39
1
To see more videos from user @asam.media.group, please go to the Tikwm
homepage.