mmhh hapo naona Sasa Sina emotional intelligence jamani.huwa sipendi dharau
2026-08-29 20:47:29
5
Anu Star :
hakika🤝
2026-08-30 09:36:38
1
Minza-P :
Mimi Siwezi Vumilia Dharau. yaani Siwezi
2026-08-29 23:11:32
3
Mr.JASY :
sahihi
2026-08-29 19:53:45
4
D.Royale :
ivi kwanini hawa watu hu disrespect watu kuhumble watu kufharau watu hawaongelewi anaongelewa victim kwakuambiwa awe na emotion intelligence why huyo mwenye tabia za ajabu asiambiwe in a rude way ili asirudie
2026-08-29 20:55:31
4
LIDA RWAMBO :
Ukosahihi
2026-08-30 05:04:27
1
Lisa Home nursing care :
Asante Sana
2026-08-29 19:22:16
2
ngirason massare :
kabiisa mkuu
2026-08-29 17:55:04
3
Nee2023 :
waooo baba
2026-08-30 06:57:40
1
Achithebest :
imebidi nikufuate na huku,kweli kabisaa [Pray]
2026-08-29 19:27:40
2
judy :
n sahihi kabisa lakn hapo kwenye kuhandle the situation sasa🤣🤣haswa tunaokaa uswahilin
2026-08-29 19:13:01
3
fadhila_911 :
😂😂😂😂mimi emotional intelligence yangu inategemeana na mwandamo wa mwezi...mwezi ukiandama vizuri naweza ku handle
2026-08-30 10:42:15
0
gcosmas2🎀 :
nmekuelewa sana bwana
2026-08-29 20:14:11
1
M💯 :
asnt mwalim wetu kipenziii🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-30 03:55:04
1
Nee2023 :
safi sana
2026-08-30 06:58:01
0
Ag mngoni 🇹🇿 :
unamuacha vizuri tuu lakin Bado anaona umemdharau anaendabkukuharibia kazi yoooh nakufundisha nidhamu
2026-08-30 08:01:50
2
nani kama mama :
Asante sana maneno Mazur sana
2026-08-30 09:48:32
1
cute reby :
mim vita ni vita mura
2026-08-30 09:57:42
1
Martha :
❤️❤️❤️
2026-08-29 18:19:25
2
user24024190945116 :
✅✅✅✅✅
2026-08-29 18:34:41
3
To see more videos from user @kashera264, please go to the Tikwm
homepage.