@bingwamagariused:

BINGWA WA MAGARI USED
BINGWA WA MAGARI USED
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 17:40:40 GMT
60796
3754
84
61

Music

Download

Comments

faddy9241
faddy :
Mbona kama upo moshi mjini mitaa ya CCP ?😅
2026-08-29 20:08:29
13
kyky_nm
. :
Jetour T2 moja na nyumba najenga 😅
2026-08-30 08:36:21
13
charlesmagesao7
charles :
hio laki 8 imekaa kimchongo sana 😂😂
2026-08-29 19:25:52
10
deacon_david13
Deacon_david :
Kwan watu mnatoa wap helaa yaan mtuu ananunua garii million 400😳😳
2026-08-31 06:49:29
2
k.bilal888
k.bilal888 :
kwani hio lak8 ni ya mganga?
2026-08-30 13:52:56
0
manhaji901
man home furniture🛋🔨🪚 :
pamja bro
2026-08-29 17:59:57
1
silvestmrosso
S. A💦 :
tajiri chukua 380m
2026-08-29 20:19:27
3
bmihato26
Malema :
najua Sina hela hata ya kununua pikipiki lakini inabidi nikubali tu kuwa Kuna watu wanaweza kununua hilo gari, na haya ndo maisha 😭😭😭
2026-08-29 18:44:46
2
mr47hope
mr T :
Hakika tanunua hiyo
2026-08-29 19:25:58
2
semagood
my name is :
nifungie nakuja kuchukuwa
2026-08-29 20:31:08
1
kimbungaog
B"I"G"D"A"D"Y"✅ :
Mbona hilo refu sana
2026-08-30 11:30:12
1
danny.boy9977
It's Danny Tech🇹🇿 :
Mungu ile gari ambayo nakuomba kila siku hii hapa @BIGWA WA MAGARI USED anaiuza😀
2026-08-31 20:04:05
1
ashrafumohamed2468
ashrafu mohamed. :
siku ukiacha kuitaja laki 8 na mim ntakuw tajiri.
2026-09-20 21:07:39
0
meddy__26.6363
ahmed 🤍 :
defender 130 defender 110 defender. 90
2026-08-29 20:33:35
1
blessed_maria1
blessed❤️ :
Bila kugombana na kipishana na serikali yangu inawezekana nisiimiliki hii.
2026-08-29 20:28:26
1
amo_graphics
Just Make Money :
Jetour T2
2026-08-30 07:50:59
0
amaniwambura
fundi mtoto :
daaaaa tutakula kwa macho unajua sisi tupo upande wa pili wa dunia😳😳
2026-09-04 18:10:55
0
eliudogalo
eliudogalo (ja naam). :
hii sasa ndo gari nilikua natafuta,,, izo laki 8 tayari ninazo sasa ngoja tutafte izo milioni 400
2026-08-30 17:13:51
1
ezekiadeus
one bullet :
Yan bingwa unanivuruga sana. mpk moyo na hisia na hisi kama zinafanya kazi kupita maelezo
2026-08-29 17:59:11
4
jeromesvault
Jerome's VAULT :
zipo na 90 pia
2026-09-01 21:59:01
0
saidzubery8
Mr D :
nakuja kuchukua boss
2026-09-07 09:49:23
0
nelliferddie
Nelliferddie :
T2 tatu na ist mbili
2026-09-24 20:43:53
1
theouts
The outsider :
hz ndo gari za kiume bana ,,ukipaki inaonekana mwanaume kapaki gari alaf kuna discovery 4 ,,hzo jetour,,G wagon ... Mungu naomba gari lakin sio IST eeh baba wa Mbinguni🙏
2026-09-13 02:45:41
0
rahimmchopa
walagamchopanga :
laki nane ndio ua ela yko et
2026-09-22 08:01:44
0
mr.hanger01
jayuso :
tajiri hivi ukisema GR SPORT unamaanisha nn
2026-08-30 09:05:08
1
To see more videos from user @bingwamagariused, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About