@bongo_media: Content Creator Bahati Mohamed, maarufu kama Bahatialawi5, amewataka wanawake kuacha kuweka matarajio makubwa kwa kutaka mwanaume mmoja awe na kila sifa wanayoihitaji katika mahusiano. Akizungumzia suala hilo, Bahatialawi5 amesema baadhi ya wanawake hutaka mwanaume awape pesa, awe wa kimapenzi, awape muda na wakati huo huo aweze kuwaridhisha kimahusiano, akieleza kuwa hayo yanaweza kuwa ni sifa zinazopatikana kwa watu tofauti. “Unataka mwanaume akupe pesa, mwanaume huyo awe romantic, huyo huyo akupe muda na pia akuridhishe. Kichwa unaona hapa hawa ni watu wanne tofauti umewataja,” amesema Bahatialawi5. Ameongeza kuwa ni vigumu kwa mtu mmoja kuwa na kila kitu kwa kiwango ambacho mtu mwingine anakitaka, akiwataka wanawake kujua wanachotafuta katika mahusiano badala ya kutaka kila kitu kwa wakati mmoja. “Mpaka unachagua vitu vyote vinne, maana yake chombo ujue unachokitaka. Acheni hizo tabia mbaya, hazifai,” amesema.

BONGO MEDIA
BONGO MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 18:08:24 GMT
33991
1028
59
252

Music

Download

Comments

taufikihamadi
Taufiki Hamadi :
wambie
2026-08-30 14:54:50
0
jeffelvin
Jeff Elvin :
asanteeeee
2026-08-31 05:18:05
0
mamas_911
Mina :
Mbona mie napata vyote😂
2026-08-30 09:26:51
3
mawazojuma26
majupekiboy :
good idea
2026-08-30 09:48:47
0
mangmbe1
mang,mbe :
Bora umetutetea good spek
2026-08-31 04:12:46
1
user595543794971
NONAME :
HAKUNA MWANAUME WA HIVYO
2026-08-29 21:03:32
4
user4304879805400
cha duly🍌🍌 :
umeongea kitu waambie awo
2026-08-30 07:48:07
3
salman_20250
YOUNG MAN :
sw sw waambii tunachoka nasisi dadaangu
2026-08-30 13:38:52
3
maurice39317
Maurice :
Asante dada
2026-08-30 20:06:21
0
zeid.omar6
zeid omar :
Afadhali ww ume waambia ukweli
2026-08-30 15:16:10
1
abhz14
abhz :
mtetezi wetu you hai
2026-08-31 06:26:53
0
user13335324813464
farouq omary :
unaakili sana
2026-08-30 09:40:31
0
masoudkaula
mjr5555 :
waambie
2026-08-30 11:22:13
0
shaban..com
shaban .com :
😂 kweli dada😂😂😂
2026-08-30 16:22:12
0
user649003571
MR POLITE :
waeleze wajifahamu
2026-08-30 04:41:24
1
intovert40
🤐 :
Sio Uongo
2026-08-30 12:54:58
0
kichi.mkumbwa
Kichi Mkumbwa :
waambie😁😁😁
2026-08-30 09:41:24
0
fistone56
fistone :
waambie ukweli
2026-08-30 08:02:22
0
user9816181337182
summa :
kweli
2026-08-30 07:56:48
0
comdaretz
Comr Ade :
waambiee😃😃😃
2026-08-30 09:29:38
0
paschalphilipo3
Paschal philipo petro :
wakike hawatakoment apa
2026-08-30 04:56:31
3
wilbard727
wbm06071975 :
wanawake wamekuwa wabinafsi sana
2026-08-31 00:10:02
1
yussufabeid4
yussufabeid4 :
Akachongeshee wakee wadizaine hyooo
2026-08-30 16:11:38
0
To see more videos from user @bongo_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About