have mercy on me ooh God ,,, forgive me lord 😭🙏 I have done wrong and neglected to do write,,,forgive me lord 😭😭
2026-09-15 18:52:01
1
Jevalyne Siche :
ooh God forgive me
2026-09-15 16:12:41
0
Nasir prisca :
amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen oooh baba Naomba unikumbuke baba
2026-09-14 07:00:22
0
Lucy luck :
eee yesu nisaidie unleashe na dhambi
2026-09-14 21:43:25
1
user690353249762 :
Good work, may God bless you
2026-09-15 16:58:18
1
Shekhainah Glory :
Kuna wakati mtaitafuta injil kama hii hamtaisikia tena, maana wahubiri mliowadharau leo hawatakuwepo tena🔥🔥🔥🔥 mwenye sikio na asikie maana Roho anena na nafsi yako.
2026-09-15 02:37:23
38
juliet the great :
no one will say that he did not hear ,God have mercy on me
2026-09-15 19:16:41
1
💞pendo🦋 :
tujalie mwisho mwema mungu 🙏
2026-09-15 14:28:28
13
Deodatus 🇨🇩🌈 Wembo💐 :
le cris de celui qui crie dans le désert
2026-09-15 19:57:39
5
Joyce Meyer :
Watu msipoamini injili hii IPO siku hautakuja kuisikia popote Tena na YESU yu karibj 😭😭😭😭
2026-09-02 19:01:35
77
Chance lukusa@@@12 :
Mungu utupe musho Muzuri kuliko mwazo🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
2026-09-12 20:56:08
8
Elinah😘 :
asante yesu
2026-09-03 12:47:05
7
Baraka Elias Tz🇹🇿 :
eeeh 🤲🤲🤲 Mungu naomba unijalie mwisho mwema 🤲🤲
2026-09-14 18:07:26
5
beatful B :
Mungu akubariki pastor unanigusa sana
2026-08-29 19:35:03
10
💫 spookling✨ 🌟💥 :
God its my humble prayer that may you always help me walk and do everything according to thy will 😔😔my sincere prayer in Jesus name 😭😭😪😪
2026-09-04 19:51:52
7
kytr :
ubarikiwe hata kama kuna watu watakudharau as long as umeubiri
2026-09-12 20:22:10
11
Kevin :
ee mungu tusaidie sisis waja wako tunakosea kila sekude tunakosea kila itwayo leo ee mungu tunaomba huruma yako bwana bila wewe sisi si chochote mungu tusamee madhambi yetu baba wa mbiguni tunaomba toba ee mungu tusamee tusafishe tuwe wasaf hap dunian mungu tusamee baba tunaomba tusamee tunakili tumekosa ee mungu 🤲
2026-09-07 14:11:57
7
Longlive :
Ni wachache wanaoweza kuelewa ukiwa na uchungu na kumaanisha juu ya uzima wa milele ❤️🙏
2026-09-12 19:33:18
6
Neema Amos :
kwel baba tunapita TU makaoyetu ni kwababa
2026-09-12 19:35:16
7
🤞Leonia💝💝Bahati :
Ee, Mungu wangu futa jina langu katika kitabu cha hukumu na uliandike jina langu katika kitabu cha uzima🙏 ni ombi langu kwako Mungu wangu; takata nijivunie jina lako hapa duniani na huko mbinguni unisamehe makosa yangu mimi na familia yangu naamini kwako Mungu wangu usiruhu sheteni abebe ushindi Bwana, wangu niongoze katika kweli yako ili niwe mwema nikupendeze wewe milele nisamehe baba nisamehe🧎♀️🧎♀️😭😭🙏
2026-09-03 16:56:52
5
Camilla🩵 :
Eeee mwenyez Mungu nilehem mim mtoto wako
2026-09-10 18:36:35
5
mary♎ :
binadamu sasa ni mda wa kumgeukia mungu tunatenda dhambi saaana