@mehndikingdom:

mehndi Kingdom
mehndi Kingdom
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 18:17:57 GMT
184489
7691
271
1258

Music

Download

Comments

suzannegewe0
Suzannegewe :
kama gazeti la nipashe
2026-08-30 09:53:54
144
nailadeen0
𝕹𝖆𝖎𝖑𝖆𝕯𝖊𝖊𝖓𝕬𝖋𝖙𝖆𝖆𝖗 :
too much of something is definitely poison yatisha kweli
2026-08-30 05:34:24
208
amicanasir
amicanasir :
nzurii lakini naona imejaa sanaa si ungeifanya nyembamba kidogo ingezidi kupendezaa
2026-08-29 19:47:29
168
chia.chia1567
Chia Chia :
butterfly
2026-09-10 08:10:43
0
waista.perfume
sweety🥰😋🌹 :
jamn munajituma wanawake heee si kw heena hizo kw wanaume hawa wasotulia jmn 🙌 pambe 🥰
2026-08-29 19:49:04
44
aiman.7861
Mrs Raza :
i say ni bombaaaa 🥰 amazingiiii
2026-08-30 16:09:30
1
code7788
🌜moon🌚moon🌝 :
nice mashaallah🥰nimependa uwa lilivotulia lakini lingependeza zaidi ingekuwa umemchora kwa henna🥰but wallahi kwa anae juwa maua hapa hawezi kukupa kasoro yoyote🥰 Allah aibariki kazi ya mikono yako 🤲🥰❤️
2026-08-30 11:47:00
20
mwandumwahafa
💔🦋MULHAT 🦋💔 :
nzury mashaallah sjuw unapatikana wap jamn na me nije unurembe ivo
2026-08-30 15:38:50
3
rahmasalim91
baby,thuma🥰😍 :
me naona kujaa ndio uzuri wake
2026-08-30 16:38:54
1
scorpio.queen2222
scorpio _²²22222 :
hii staki
2026-08-30 10:44:50
0
nillah_00
⚘️nillah⚘️ :
upo wapi???
2026-08-30 12:25:59
0
user9883920198145
mwana hin̈na :
imejaaa sana heee
2026-08-30 06:01:43
12
mahilu05
muniz :
nzuri ila too much unajua kuna sehem kama hizo zinataka uchore simpo tu inanoga 😁
2026-08-30 14:13:14
8
husn56
Cutiepie💜🧕 :
mbona hata UA alionekani design yake
2026-08-31 13:44:30
2
msomali_naa
♡_Nassra_♡ :
mashaallah kam imebandikwa vilee😄
2026-09-02 18:03:33
1
maidah.maidah78
Maidah Maidah :
mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah
2026-09-07 07:56:44
1
jamilathedon
dony@j. :
Sanna ikizidi sanna huwa si nzuri sanna
2026-08-30 15:56:40
3
emyray21
Emmy Make-up 💄 :
upo wapi
2026-08-30 11:44:06
0
ummy.nanaki
ummy nanaki :
nimeshtuka
2026-09-02 13:51:36
1
mubajr2
datuu :
unapatikana wapi
2026-08-29 20:50:45
0
sumy.905
Su 🦋mae :
inakauka baada ya masaa 72😳😳😁
2026-08-30 17:08:56
2
ashamwerekwa
Asha Mwerekwa :
Mashallah ila ungeifanya nyembamba kidogo ingependeza sana
2026-08-30 15:21:39
2
meju.001
Meju 001 :
Maua mazuri lakini yamekua mengi yatisha
2026-09-01 13:29:39
4
choclateflavour
Queen with A King🇰🇪🇸🇦🇶🇦 :
hii hinna inaitwaje
2026-09-02 08:48:47
1
seraroomy
Sera Roomy :
ni chupa ngapi za piko
2026-08-30 07:50:48
3
To see more videos from user @mehndikingdom, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About