@jvckieseven: hot gals walitishia amani kwa wasanii wa kike enzi zile baada ya kudropisha hii joint matata waliomshirikisha brazaman dully sykes. UNAAMBIWA waliamua kutimba hadi temeke kwenye studio ya soundcrafters kwa Enrico na Enrico hajawaangusha siunajua tena maproducer wazungu walivyokua na balaa 😁😁😁