Jesse wait! Tell me why King Solomon’s wealth didn’t get to us but Adam and Eve’s sins got to us? 🤔
2026-08-31 15:13:40
0
Depeace🥸 :
bro you are brilliant,some may not understand..
2026-09-02 00:47:14
0
Nadyb :
Jesse you can never understand God untill he is in you l mean till you receive the (Holy Spirit ) and untill you agree to walk with Jesus you will never know him ! He is so more loving than you think l hope you get to know him
2026-08-31 05:19:28
0
Grace :
One day l wish tukutane
2026-09-01 09:11:30
0
quite :
jesse one day na wish tukutane tuongee jambo hili ..I think is too much important
2026-09-01 07:54:25
0
Doreen G. Msangi :
what if we add number six and say - Anajua nini anafanya and we don't have to question what He allows to do? ☺️☺️☺️
2026-08-30 11:40:24
10
abdullsimba :
mimi naamini dini ndo tulidangnywa sisi waafrika ila mungu yupo the creater
2026-08-30 05:18:54
31
steven_begge :
4.Ana uwezo wakulizui lakini anachagua kuto lizuia...na hii haimaanishi Hana upendo...Jesse ..Unachinja ng'ombe..mbuzi ..kuku unauwa na viumbe wengine Kisha unawala ili wewe uendelee kuishi...Hii inamaanisha hauna upendo.?..Unajali kuhusu maumivu yao?...Lkn unatakiwa kujua MUNGU ni asili yote...Ndio maana Mungu hujionesha katika mambo ya asili pekee...Kifo nisheria ya asili...na sio wanadamu pekee ndio wanakufa bali Kila kilicho hai...Wewe unavo kitazama Kifo...nitofauti na Mungu anavo kitazama...Kwanini unajifikilia kwanza wew mwanadam unajua na idadi wangapi walikufa.?..Umewahi kujali kuhusu viumbe wengine Wanao kufa Kila siku? vifo vyao vimewahi kukuumiza kiasi gani?...
2026-08-30 10:53:20
15
Debbie :
uyu muombeeni Mungu aongee nae mwenyw msijitese 🙌
2026-08-29 21:12:56
15
diora :
don't attack but Mungu anaweza kuzuia lkn anaacha yatupate ili tujifunze kitu na tumkumbuke yeye
2026-08-29 18:57:53
14
Tujielimishe :
Uwezo wa kufikiri wa watu wengi ni mdogo mno! Mada hii inahitaji watu wenye upeo mkubwa wa kufikiri. Takribani 3% watajibu ndani ya topic
2026-08-30 05:14:43
14
user9812677629981 :
Jesse nakuelewa ila Mungu hatumjadili Kwa kutumia logic za kibinadam. Mungu yupo juu ya ufaham wa kibinadam. Iko hivi Kwa upandw wetu sisi wakristo upendo wa Mungu haupimwi Kwa yeye kufanya jambo Fulani bali unapimwa Kwa yeye kutupa sisi asili yake (his nature). kinachohitajika kwetu ni kuwa na mahusiano naye na ukiwa na mahusiano naye utakuwa na uwezo wa kizuia lolote baya juu Yako. mfano wewe umekula sumu upendo wa Mungu anakupa maziwa ili sumu isikudhuru sasa wewe unaamua unywe .maziwa au usinywe usipokunywa ukafa haimaanishi Mungu alishindwa kizuia kifo Wala haimaanishi yeye hakupendi ila alikupa chaguo la kufa au kuishi na ujue kufa Kwa mwanadam si tatizo Kwa Mungu.
2026-08-30 18:23:29
2
stinko Jr⚽️ :
Allah yupo na anawez ku control kila kitu izo zinazotokea ni moja ya dalili kuonesha kuwa he is there
2026-08-30 06:10:04
2
Emmanuel Laurent :
Nimesoma comment za watu wengi hapa, waafrika tunahitaji ukombozi wa pili. Akili zetu zimeshikwa matokeo yake tumeshindwa kujikomboa kutoka kwenye hali mbaya za kimaisha kwa kuwa tunabaki kutegemea miujiza kuleta mabadiliko katika maisha badala ya kuweka vitendo kuleta mabadiliko na ustawi katika maisha yetu.
2026-08-30 00:55:49
6
Shabani Ramadhani410 :
kosa kubwa ni kuishi bila kujua kwamba tuliumba ili tumuabudu Mungu,kwahiyo Mungu analeta majanga kama hayo ili wachache walojisau wafe ila wengi wajifunze kwamba hapa dunian si makazi yakudumu
2026-08-29 23:03:30
7
sittytiba61 :
Mungu nisaidie Mimi nimwe zambi
2026-08-30 03:24:48
1
pilly :
upendo wa Mungu kwetu haimaanishi hawezi kutuadhibu ndivyo alifanya hata kwa Daudi ni njia moja ya kutufanya tuwe katika mstari ule anaohitaji ni kwa ajili yetu c kwa ajili yake...Upendo wake ni zaidi
2026-08-29 19:02:06
6
Anniegly ♓️ :
Bora umuamini usimkute ndugu
2026-08-30 08:38:31
0
smartsuluhisho :
Jesse watanzania wengi bado hawajafika kwenye hizi frequency jaribu kuelezea kama unamfundisha mtoto raia wasipanick😅
2026-08-30 14:28:16
2
mati :
kila kinachotokea kina sababu
2026-08-30 06:05:17
0
Bigtime_digital :
What if we put it this way kwamba ,he created the world and its system of nature and let it run by it self to control and balance it self but at the end we should know him ,hata mbugan simba akimla swala its fine coz inafanya balance, people die and a new one born everyday so it a balance ,kuto zuia jambo sio kwamba akupendi wake up bro … u know whenever i tried to go back in time try to think where human come from kuna sehem nastuck coz before 7 billion people now ,we were 1 billion and before that we were 1milion so what about before and before that 😏u came to realize that ni kibur chetu tu kukubali kwamba he created us anyway wacha inyeshe tujue panapo vija uwe na siku njema and GOD BLESS YOU
2026-08-30 08:08:15
0
Kalihos Kalihos :
hayupo broo atoke wap
2026-08-29 21:23:51
3
✝️miss lissah✝️ :
amin siku atakuja kwako na utajua kuwa Mungu yupo
2026-09-01 08:18:21
0
Suzana Gibai :
wapendwa nawasihi sana someni vitabu Mungu Hakupi unacho taka anakupa unacho staili Mungu alikuwa na uwezo wakumuuwa shetani lakini kwanini alimuacha hayo yote yanapatikana kwenye vitabu vyetu vya dini tukumbuke Mungu hadhihakiwi.
2026-08-29 20:37:39
5
mimamohamed :
amefanya kwa makusud ili kutoa funzo lakin uwezo wa kulizuia anao na upendo pia anao mana kunawatu wanaweza wakapona kwenye tukio ambalo limeyokea
2026-08-29 19:45:28
2
To see more videos from user @jesseclarke95, please go to the Tikwm
homepage.