@manyjaytz: Hii clip wenye akili watacheka sana,wenye akili watanuna,kwa maana wenye akili wataielewa hii clip lakini kucheka na kununa kutategemea upo upande gani,na wale wenye akili nyingiii ni wale wanangu wataocheka hata kama wapo upande wa kijani 🤣🤣🤣🤣🤣

𝕄𝔸ℕ𝕐 𝕁𝔸𝕐 🎧🎤
𝕄𝔸ℕ𝕐 𝕁𝔸𝕐 🎧🎤
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 04:07:00 GMT
28838
958
44
72

Music

Download

Comments

shabani.mngoni
🔥shepido guy🔥 :
🤣🤣🤣🤣 jaman this is so reality
2026-08-30 06:07:51
2
humorousprofundity
Thinklaugh :
Pamba inatokutana na Simba na inayokutana na Yanga ni mbili tofauti. 😂👍
2026-08-30 06:16:02
13
samrich122
Samrich_Snaiper :
😂😂😂😂😂😂😂 ila kuna ukweli wa hili post
2026-08-30 05:12:08
13
i_am_bigboss_
I am Big Boss 💼💰 :
Ina reality ndani yake
2026-08-30 07:19:16
7
nana.milanzi1
nana milanzi :
aichekeshi
2026-08-30 15:27:43
0
kunzepluss
Kunzepluss :
Wewe ihi video umetengeneza kwa upande mmoja Ila Akuna unacho maanisha
2026-08-30 06:58:53
4
masindi.classic66
Abely🇹🇿🇰🇪 :
😁😁😁😁 ila sio fea kweli
2026-08-30 11:54:09
1
nsabimana.john.cl
nsabimana john claude :
simba 🦁 tunapitia ugumu huo🙄
2026-08-30 09:37:38
1
maseke_29
Maseke_ :
Team yako inacheza dkk 80+ na yanga haina on target af unataka pamba ndo ashinde 😂😂
2026-08-30 18:44:00
0
user4517337718186
user4517337718186 :
Kama kweli
2026-08-30 15:31:39
0
user4658158709841
antidius kamala :
kaka upo naona life sio mbaya
2026-08-30 14:17:42
0
samitz123
samitz@123 :
umesema kweli ndugu yangu
2026-08-30 09:43:09
0
jonas.fred8
Jonas Fred :
yani hii inaukukweli kwa waelewa
2026-08-30 09:30:58
0
user100678283000
Fredy :
Iko ndo kinachowaponza Simba na kushindwa kujenga team yao
2026-08-30 05:57:29
3
mrotipii
Mr OTP :
Unamaanisha Simba anapewa wapinzani tofautu na Yanga kwenye ligi? Yanga wangelalamika kifala ivi kipindi cha kibakuli,walah wasingefanikiwa
2026-08-30 07:11:51
1
neverlosehope09
neverlosehope09 :
Wew akili nyingi tunaelewa ila ma overthinking bado yanajiuliza maswali ndio maana simba kimataifa inafanya poa kuliko mpasua nyanya
2026-08-30 07:14:22
1
krs_the_teacher
UNJU REAL ESTATE AGENCY :
tiefuefu
2026-08-30 06:21:40
1
malicksamba214investment
SAMBA-INVESTMENT🫂 :
simba amebakiza nyanya 2😅😅 huo ndo uwanaume😂😂
2026-08-30 06:05:38
1
malikshahrudiger5
Abdul malikishah :
alieona tiefuefu
2026-08-30 05:58:28
2
exaverypatience0
Exavery 🇹🇿 :
ila AI et Simba kabakiza nyanya mbili
2026-08-30 04:58:29
2
felixmarekani63
@therealfelix :
Asante kwa kushiriki tafuta content nyingine labda itakusogeza😂😂😂
2026-08-30 09:32:05
0
galax9545
Galaxy :
D2 zinatosha kuelewa 🤣🤣🤣
2026-08-30 08:08:08
0
swahib876
young swaah :
mnataka tujenge na maw
2026-08-30 09:42:20
0
mbawala16
melenia kastory88 :
nyuma ameweka mwiko
2026-08-30 13:09:31
0
To see more videos from user @manyjaytz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About