@chamulungu_tv: 🔥 HASIRA ZATANDA! PESA ZAIDI YA TSH MILIONI 302 ZILIPO? Mvutano wazidi kushika kasi baada ya kuibuka maswali kuhusu TSh milioni 302 zinazodaiwa kuwa zilichangwa kwa ajili ya kufanikisha Baraza Kuu linalotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa Septemba. Baadhi ya wanachama na wadau sasa wanataka majibu: Fedha hizo ziko wapi na zimetumika kwa shughuli gani? Madai yanaeleza kuwa baada ya kuulizwa kuhusu uwepo wa fedha hizo, majibu yamekuwa yakizunguka bila kuweka wazi hatma ya fedha hizo. Je, TSh milioni 302 zipo au hazipo? Na kama zipo, ziko wapi? 👀 CHAMULUNGU TV inaendelea kufuatilia kwa karibu sakata hili. #ChamulunguTV #Tanzania #BarazaKuu #Chadema #Milioni302

CHAMULUNGU_TV
CHAMULUNGU_TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 19:22:39 GMT
39717
788
47
14

Music

Download

Comments

diozytz1
diozy_tz :
ur speaking abt 300m CAG huwa anareport mabilion kupoteza @🤷‍♂️
2026-08-30 09:48:42
0
sadam.issa97
Sadam Issa :
tutachanga tena wakitaka
2026-08-30 05:19:43
7
user774034403673
jackline :
sasa si zitumike ss haituhusu ila tuko tayari kuchanga tena
2026-08-30 03:52:49
11
pasie308
@pasie :
kulen zote hii nchi wajing ni wengi watachanga tena icho chama akin maana yoyote zaid ya kuitaka dola wanalilia dola akuna cha ukomboz apo
2026-08-30 07:08:20
10
monatiktok.com4
Rick :
TUNACHANGA TENA BILA KUCHOKA sisi watanganyika timamu tunaanza natunaendelea kuchanga
2026-08-30 07:20:49
5
korobole
Mwamba :
kuleni tuchangie upya
2026-08-30 07:38:59
3
msouth.the.badest8
Denis Nicholas :
Pesa zipo na zitatumika kama ilivyopaswa
2026-08-30 04:52:55
1
userolqbk4r9es
mabudaissere :
chadema ikipotea,itachukua miongo kadhaa kuja kupata mbadala wake
2026-08-30 14:14:58
0
tomnaabona
Tom Naabona :
Ila hela bhana. Watu wameshahaidiwa pesa waaribu chama
2026-08-30 01:05:25
2
riyadh2168
RIYADH🇰🇪 :
WATU WAZIMA WASTAAFU TENA ..
2026-08-30 11:11:53
0
33uleed33
Uleeddi :
mbona sioni wale maarufu ili niamini
2026-08-30 10:14:37
0
imanintandu3
user27102508038545 :
tunachanga haina shida 😁😁😁
2026-08-30 10:51:08
0
user4538562835007
AHSANTE SANA :
hiii nayo ni TV channel mpya inayotaka followers, likes, na shares Kwa kuandika content za uongo itamaliza kweli hata miaka 2
2026-08-30 05:03:28
0
ayubu.said63
Ayubu Said :
vp
2026-08-29 19:50:13
1
jamaltz7
Ɓ.Î.Ĝ.Ĵ.Å.M.Å.💯 :
msikilizi mnakimbilia kucoment
2026-08-30 07:51:04
0
medy6980
hustler👊🇰🇪🇹🇿 :
wafia chama tena hasa kwa hasa walisema wanachanga ili heche ale kwaiyo msipige kelele cjangeni nyingine ili ale msijali mana mtu anaekaribiwa kuibiwa huwa hatakagi ushauri
2026-08-30 07:03:46
3
nehemiathobias46
Nehemia Thobias :
mwandishi mbona ulichoandika nakile kimezungumzwa hapa ni mbingu na alidhi au hii ndioo media uchwala
2026-08-30 09:27:49
0
sungisungi307
ceo :
hao nyuma yake wanafanya nn?
2026-08-30 02:35:16
0
sasule0007
sule kibansawa :
alafu twape nch
2026-08-30 06:50:53
0
joji8918
JOJI :
hama Chama
2026-08-30 04:46:26
0
big3277
Mt :
hata kama tutakula ni zetu wananchi wapenda haki
2026-08-30 06:51:14
0
user97408302002357
user97408302002357 :
tutachanga zingine tena
2026-08-30 09:22:38
0
kinforbin
johanesburg :
sikiliza hadi mwisho
2026-08-30 07:22:57
0
shamsimaarifa
Shamsi Maarifa :
nyie wekeni mkeka watu tuchange yena
2026-08-30 08:38:36
2
benjaminkijunguka
okusi kijungu :
Pesa ziko wapi Kwan zilikuwa zinawekwa wapi?
2026-08-30 03:56:19
0
To see more videos from user @chamulungu_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About