@_muzy_kicks_tz: Acha kuharibu sneakers zako! 🛑 Kama unataka viatu vyako vidumu kwa muda mrefu na visipoteze rangi, hakikisha unafuata hizi mbinu 3 nilizozitaja kwenye video.Kutunza kiatu ni sanaa, lakini kuwa na muonekano nadhifu na viatu vikali ni lazima!Kama unatafuta sneakers kali, imara, na zenye muundo wa kisasa, page yetu imesheheni mzigo mpya wa viatu bora kwa ajili yako. Kuanzia sneakers za michezo hadi fashion shoes za mitoko yote.DM sasa hivi au bonyeza link kwenye bio yetu kupata muonekano wako na kuona bei za viatu vyetu! 🛒👟...#sneakers #viatu #sneakerstanzania #viatuvyakiume #viatuvyakike