😭😭😭hakika ipo day ntajibiwa maombi yangu Mwenyezi Mungu aniwekee baba aje ashuudie harusi yangu anataman mwanae niolewe leo kesho ila bahati ndio sna🥺😔nipe kibali namie niolewe eeh jehova🙏
2026-10-11 20:07:21
0
dolney_255🌹 :
nimevunjika moyo sana
Mungu nikumbuke na mm
2026-10-09 14:08:36
2
anitha😛🥰 :
ameen maana nimekata tamaa jaman sijui kwanin
2026-09-15 19:23:10
2
Mariam.collection79💕❤ :
Mimi nimechoka jmoni kuanza upya inauma sana😪😪 mbaya zaidi siyo kwa kupenda ni mtu anaamua kwa makusudi kabisa kuchukua hki yako kwanini me😭😭