@scoberaymos: Kupumua x Kuishi vyote ni majaaliwa ya Mwenyezi Mungu utofauti wake kuishi ni kuamua kufanya unachotaka baada ya kujituma ukapata unaamua ule, umiliki, uende au ufanye nini ila kupumua ni kwa yeyote as long as ni kiumbe hai sou utaamua wewe uwe A/B📌 #fypシ #fyp