Viwanda vya ndani si ndo hivo hamtaki maendeleo au
2026-08-30 08:38:19
7
lwila oden :
mbona husemi mafisadi walipo kwenye tasisi za serikali hapo mufindi
2026-08-30 07:11:52
6
user7473443080461 :
mm kwa sasa napumzika pombe nyingi zimekuwa fake
2026-08-30 02:42:12
13
Erick manda :
Tanzania wanapenda watu kuwa maskini mtu anajibunia biashara mnamuharas kwel kwl mpen mafumzo mkopeshen mtaji chukueni Kodi mambo yaendeleee ata mm siwez kufa maskini akinicundisha nafanya hivyo hvyo
2026-08-30 06:10:13
8
@sopheryer💕 :
TRA na TBS wenyewe wanasemaje kwan?
2026-08-30 08:34:48
2
Mam Francis :
mi naona sio jambo baya awezeshwe tu hapo mshaharibu ugali wa watu wengi sn
2026-08-30 08:40:01
2
NACHI :
Mimi naona mngekaa na vizuri awezeshwe iliaweze kutengeneza bidhaa kwa brandy yake
2026-08-30 08:16:28
2
kilistofa myovela :
sisi wanyaji mbana hatulalamiki
2026-08-30 10:18:59
0
iron mission📖🎶🙏 :
Sasa mnahojiana Nini wakati kidhibiti mnacho km nikweli?
2026-08-30 10:15:10
0
Mercedes-Benz Ujerumani :
hv umeolewa
2026-08-30 04:32:46
0
faymar :
apewe mafunzo na mtaji .kibali aendeleze na kazi
2026-08-30 05:57:53
2
Mam Juma poultry farm mafinga :
muharifu anaekitu sema ajisajili yupo vizuri afuate taratibu za serikali
2026-08-30 08:04:59
3
@qweenie232 :
kumbe Katia na ajira kwa wenzie angalien namna yakumwendeleza cyo kumkandamiza
2026-08-30 06:10:24
3
The Grand :
acheni watu wafanye kazi, mbona mskamate mafiaadi wamejaa ccm
2026-08-30 02:37:40
3
IBRAH SPARE PARTS :
huyu kakosea lakini hatakiwi kuhukumiwa moja kwa moja anatakiwa spewed mafunzo inamaana uyo ana kipaji selikali imchukulie hatua nzuri fungueni viwanda watanza nia tunaakili tunakosa tu mitaji selikali uyo mtu anaweza kusaidia na watu wengine wengi endapo mtamtengenezea mazingira mazuri.
2026-08-30 03:00:22
4
To see more videos from user @shalomrobby, please go to the Tikwm
homepage.