KAMA POLICE AMESHINDWA KULINDA MALI ZAKE RAIA ATAWEZA KULINDA KWELI EBU MPENI DOGO AJIRA ACHENI MAMBO YA KIZEMBE🥺🥺🥺
2026-08-30 09:49:28
56
Dangotte :
Si mlisema tujiajiri au 😂😂😂
2026-08-29 23:10:58
89
chatgpt :
mbn kapendeza kwani shida nini
2026-08-29 22:59:45
30
monique-tz :
Sasa kama mtu aja bahatika kusomeshwa na anatamani kua askari asivae nguo
2026-08-30 08:58:52
32
Hildah rite :
jamanii Mtu asimdanganye Demu Wake kua Yeye ni Askari 😅👌
2026-08-30 22:54:59
23
Happie Momáh🥰☺️ :
mtu asiwe Police 🥹😂😂
2026-08-30 19:53:04
12
Junior :
Ushauri wangu wamuendeleze tu na hiyo ndoto yake
2026-08-30 09:35:22
33
kisambukile WELDING :
jaman si mmesema tujiajir
2026-08-30 11:39:56
7
kevoo :
binadamu hamna shukrani mtu kaamua kujitolea ili kulinda raia na mali zao nyie mnamkamata
2026-08-30 12:04:22
20
FAHMI TANGA MJINI :
😁 yaani haziendani nae kabisa
2026-08-30 06:20:36
6
user44101551728808 :
Acha si kila anaevaa kombati mwalifu mkubwa mdamwengine ni mapenzi yakitu flani kutoka moyoni ndiomana tunajikuta kwenye matatizo
2026-08-30 06:24:35
6
Miss Bee😍❣️ :
Anaipenda iyo kazi kutoka moyoni ndo maan kaamua kuvaa kwa heshima san🥰😁
2026-09-01 09:25:03
8
shukuru malo :
Siyo mlisema tujiajili sasa Kuna kosa gani
2026-08-30 07:15:02
8
Rose 🌹Mluguru 207 :
Tunaoangalia 1/9
asubh
2026-09-01 04:41:32
5
kidole :
et sisi hatuvai hivi asa mnava vp
2026-08-30 04:58:33
65
Manoty Cafe :
Mm naamini uyu kijana sio muhalifu bali anandoto za kuwa police nawaomba uyu kijana msaidieni mumpatie mafunzo ili atimize ndoto zake za kuwa police ata mm nilitamani sana ila sikufanikiwa kuwa police ila uyu kijana mungu ambariki atimize ndoto zake
2026-08-30 05:58:54
31
Kamanda_wa_zamu★ :
daaah aiseee mbona tunajikubar vibaya saaana
2026-08-29 22:16:51
21
꧁༒☬Daudi☬༒꧂😎🤏 :
vijana tunahitaji ajira sasa ona tumeanza kujiajiri wenyewe 😁
2026-08-30 06:12:54
7
MBALIZI GIRL 💔👌 :
Jana usiku nimemuona mtaan kwetu nikakimbia🥹
2026-08-30 21:35:05
10
vany boy :
mh ila namb k. bahn
2026-08-29 22:41:15
5
To see more videos from user @mbakachai, please go to the Tikwm
homepage.