@officialsam_tzog: #penzizitokilamiahamsini❣️❣️🥰🥰🥰🥰 #siwakikalasam_tz2og

SAM_TZ ✅
SAM_TZ ✅
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 21:20:34 GMT
400168
33713
815
822

Music

Download

Comments

mrs_003me
MsEyes👀😉 :
Imagine ndy nafungua tiktok🥺🥺
2026-09-01 22:14:15
1
hamygirl21
🦋Michu🦋 :
da siwa tuonee huruma na sisi wanao jman utawamaliza wote mamaa😂😂
2026-08-30 05:22:51
795
doublec259
Mama Diego collection :
big g inaniuz shemeji ,bebika bhanaaa🥰🥰🥰msiniseme naumwa jino mieee😂😂😂😂
2026-09-01 09:31:01
0
mwanaidi457gmail
Miss Mwana❤🥰 457@gmail. :
Ila huyu shemeji yetu ana deka sana wallah khaaaa😁
2026-08-30 06:29:09
558
ibrahimchombo
ibrahimchombo :
bibi harusi mashallah amependeza na kitambi chake
2026-08-30 00:24:54
339
winniethomas03
Winniethomas :
Amesema mbona hujasema kama nimependeza😂😂😂😂
2026-08-29 22:10:05
100
ridah975
ridah975 :
huyu baba hayupo romantic lkn siwa unamlazimisha jamani
2026-08-30 06:28:28
167
user50504714950688
recho george :
hongera
2026-08-31 20:42:54
0
florahadamson
Florah Adamson :
wengine ndoa ya Tano wengine hata Moja Bado😂😂🤣
2026-08-30 15:58:25
60
mamuhraniyah
Maryam🧚♒️ :
Huyu siwa kam wifi ake zaylisa🤣🤣watawamaliza wote wengine tukose hata wakutupigia kelele kwenye simu😂😂😂
2026-08-30 12:54:03
54
fetty.wa.chelsea
Fetty Wa Chelsea :
hongera
2026-08-31 18:41:46
0
khojammisri7
Khoja Mmisri :
Daah Mungu nistiri na uchi wangu
2026-08-30 16:51:01
20
angelbeaut10
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Mungu nikumbuke na Mimi 🙏🥰hongera dada siwa
2026-08-30 14:17:15
15
rah.baby52
Rah baby❤️😊 :
😂😂😂😂😂wangap mnaamini huyu n. Last born
2026-08-31 16:05:15
5
official.manka4
loveness :
nikisema kila penzi litaonja alafu nyie mnamalizia kila penzi litaonja,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,?
2026-08-30 12:21:54
24
safi3108
Safi :
Kumbe mapenzi yamegawanyika nilifikiri nilivyopenda pale ndo mwisho yan siwez penda tena au moyo wangu mjinga
2026-09-01 14:20:17
5
ummybarbie
Ummy🌸 :
Siwa kasema mbona hujaniambia kama nimependeza😂😂😂
2026-08-30 07:42:02
6
ivon.charles4
Official kilolo👣🔥 :
Hongera dada angu mdogo wako hapa sina hata bwana wa kusingiziwa Mungu awatangulie inshallah🙏
2026-08-30 15:59:31
8
rebbieyaredy
rebbie🦋 :
kama siwa kaolewa basii sina haraka ntaolewa tu na mim
2026-08-30 14:48:10
7
gilo1986
shadyamussa :
bwana harusi yuko romantiki sana..anampenda kweli siwa mwanamme akikupenda anakuwa hivo
2026-08-30 10:02:48
29
user8386201280698
froz :
wanapendana jaman yoooh raha
2026-08-30 04:25:44
8
apponiaphilipo
APPLE BABY :
Dah mwanaume kama ajawahi kupenda kabisa😂😂😂
2026-08-30 07:15:29
5
miss.haila2
Miss Haila :
kwani huyu siwa kikala huwa anaolewa mara ngapi kwa mwaka mzima jmn embu nisaidie kunielewesha
2026-08-30 03:58:37
40
To see more videos from user @officialsam_tzog, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About