@ngoi_wa_mangai: SURGE PROTECTOR KWA ACCESS POINT ZA WiFi 📡 Linda Access Point zako kama Ruijie, Wavlink na vifaa vingine vya kusambaza internet umbali mrefu dhidi ya radi, mshtuko wa umeme na voltage ya ghafla. ✅ Hulinda Access Point dhidi ya kuungua mfano Radi😪 ✅ Hupunguza gharama za matengenezo na kununua kifaa kipya ✅ Husaidia kuongeza maisha ya vifaa vyako ✅ Inafaa kwa Access Point zilizowekwa juu ya paa, minara na maeneo ya nje ✅ Ulinzi muhimu kwa vifaa vya kusambaza internet umbali mrefu 📞 Kwa maelezo na oda: 0710 802 580 #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿 #dataflowtelecoms