@wajahkoya_wazome: Musiseme sija waambia,,, watu waku rev Nyali/Bamburi na Mtwapa,,, mulale uko uko ,,, Mambo ime chemka #NTSA #mombasatiktokers #nairobitiktokers #kenyantiktok🇰🇪 #kenyatraffic

WAJAHKOYA_001 🌴🇰🇪
WAJAHKOYA_001 🌴🇰🇪
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 29 August 2026 22:00:48 GMT
27003
726
41
309

Music

Download

Comments

life.of.noon_
Nnnnnn 🌻✨ :
Whats going on? Watafta nn
2026-08-30 13:03:16
2
its_michaelwolf
Wolf_King :
mi ata sijui nilipita vipi api jana, i think they were gone by 5
2026-08-30 12:23:51
1
princebing1
king-bing1 :
kasongo must go
2026-08-30 22:11:05
0
habibahnjoki102
Habibahnjoki102 :
inspection checking ama
2026-08-30 06:45:13
0
ivanke129
MILITARY IS WATCHING 🇺🇸🇺🇸 :
Na Hapo hakuna you turn 🤣
2026-08-30 01:22:18
14
dad_ezra
Dad Ezra :
A quick one how legal is this.......?
2026-08-30 06:32:42
4
missmunchkin001
missmunchkin001 :
😂😂Ndio maana nikajiona mzito kutoka 💔nashukuruu Mungu 🥰🥰
2026-08-30 05:47:44
9
curtismuchiri415
001_curtis :
Wana jua Ni end month
2026-08-30 08:31:51
5
searchmyname22
search :
mwanangu hii nialini
2026-08-30 04:50:27
2
elius9326
Chiggy76 :
kenya noooo
2026-08-30 18:59:28
0
mohamed_somali1
mohamed somali :
😂😂😂dooh kubaya
2026-08-30 00:49:42
1
merliquecaprio69
Merlique Caprio :
Wakora tu hao.. Ni pesa wanatafuta. Wametoa Wild waters sasa wamehamia Nyali bridge
2026-08-30 17:48:08
0
its_michaelwolf
Wolf_King :
nakwambia, pia mimi bana
2026-08-30 12:24:09
0
user5881438736584
Vmk :
Just for money because it's end month
2026-08-30 18:04:00
2
hz1019
HN :
shika zile gari mataa za break na chevron zime isha
2026-08-30 10:43:19
2
_abuhanalulu
MAN_SOLO :
Uwizi tu
2026-08-30 09:28:13
3
justkaranja
theekaranja :
waliwapanga kos muko end month😂😂😂😂😂
2026-08-30 08:59:11
1
gitex_computers
zaeem IT Engineer 001 :
cameras hazijawatosha pesa zaingia kwa mpesa.....wataka za mfukono...hayani hii ntsa imesinya.sana kila ukiamka wana jipya....njaa yao hiishi
2026-08-30 13:12:29
0
ayubminister
G .Ayub :
Hawa jana walifungwa macho na babu zangu😂...nlikuwa diiiiiiiiii lakin ile kusalimiwa na heshima nkajibu kwa utulivuuu waliona kijana hana bayaaa😂😂😏
2026-08-30 13:02:43
0
gold_expert11
EXTREME FOREX :
Walininasa😂😂
2026-08-30 12:36:33
0
beauttahb
ShymexxyB😘😘 :
ni endmonth hao pia Salo haijaingia na wako njaa🤣🤣🤣🤣
2026-08-30 16:16:24
0
walad__barajaa
Khalillullah :
@arabianbreezy mbona nakuona hapo
2026-08-30 09:23:33
3
hontarus
Hon. Boniface Tarus (Bonnie). :
ni alcohol blow
2026-08-30 05:30:29
6
To see more videos from user @wajahkoya_wazome, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About