Ijulikane Mtenda miujiza ijulikane, Yesu wewe peke yako ijulikane😊
2026-08-31 06:42:36
12
winnlizzy tz :
ujulikane Ee baba yangu Yesu
2026-08-31 11:10:11
2
Shimbi fredrick :
Amiin
2026-08-31 12:14:36
3
edward Jackob :
jina ra bwana lihimidiwe
2026-08-31 06:28:49
1
Joseph Madundo :
Aminaaaaa mtumishi wa MUNGU
2026-08-31 12:39:17
1
mcshupavu3 :
halelulyaaaaa
2026-08-31 14:50:21
2
GOD SON1✝️ :
huyu mwamba ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏
2026-08-31 14:52:56
0
Flora Maganga :
🙏nemungu akutunze mchungaji mwenzanu'
2026-08-31 09:28:58
1
suzan Omary105 :
ujulikane Yesu
2026-08-31 06:51:50
1
riteaubedi :
Mungu akuzidishie nguvu za kumuabuudu katika roho Baba .nakuflutia lia nikiwa 🇺🇬 kwa njia YouTube .
2026-08-31 17:32:54
1
Doricas Rugera :
Asante mungu Aminaa
2026-08-31 09:03:23
1
Elieka :
mtumishi Sasa mungu ukajulikane tuuuu tunakuomba tuuuu
2026-08-31 07:59:58
2
Frank :
askofu iyo ingia studio
2026-08-31 11:22:20
1
user83361399220486 :
majeshi yapo kila pande ,upanga ukatao kuwili umekuzunguka naamin huwez tetereka wala kuanguka daima , Mungu akutunze mpaka ahadi yake itimie amen
2026-08-31 06:07:15
9
G 450 🚛 :
Nikama huu wimbo nime usikia kiroho zaidi ila sijui nime usikia wapi ila MUNGU ata nionyesha nahapo nita jua ukweli watu wa MUNGU tuishi kwa upendo maana hatima ya maisha yetu hatujui ipo wapi maana tuna fumbo kubwa sana na kila siku tuna jaribu kuunga unga ili tupate majibu
2026-08-31 16:19:48
2
Roida :
kweli ijulikane leo
2026-08-31 04:39:54
1
Kemmy Rwechungula Francis :
Aaah, Gwajiboy wee..!
2026-08-31 05:38:19
1
Jullius masai# Gospel Artist# :
Amen Jasusi la Mbinguni
2026-08-31 04:06:31
1
Selpher✨️🤍✨️ :
2026-09-01 07:04:02
0
Zagluxeevents :
Hakika ijulikane Uko peke yako Baba 🙌🙌
2026-08-31 20:44:22
0
To see more videos from user @no_pressure_no_panic, please go to the Tikwm
homepage.