@5star_newstz: Video fupi inayosambaa mitandaoni inamuonesha mwanaume anayesikika akisema kuwa ni Mtanzania, akiwa amefungw@ kamba aina ya tape usoni, md0moni na mikononi. Katika video hiyo, dereva huyo anaeleza kuwa watu waliomtek@ wameondoka na gari lake, huku yeye akisema hajui alip0 na kwamba ametupw@ kando ya barabara. Pia haijafahamika gari hilo lilipo. Taarifa hiyo imesambazwa na Umoja wa Haki za Madereva kupitia X, zamani Twitter. #Updates #5STARNEWSTZ

5star NewsTz
5star NewsTz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 23:01:34 GMT
8790
276
10
11

Music

Download

Comments

egidewilondja
Kamengelle :
siyo Congo apo niingine inci siyo congo
2026-08-31 10:27:56
0
m.s..petty..21
m.s..petty..21 :
Ehee MUNGU wangu Nina kaka Yupo huko😪
2026-08-30 22:39:57
1
atispesa27
rosesaimonoburu :
mmhh pole sana my brother
2026-08-30 01:27:27
0
cutesau69
cutesau💞 :
jaman
2026-08-30 11:59:20
0
tch.bb
[email protected]@B¥ :
watz wapo kwa pipitida mwenetu ana umiia uku wajali
2026-08-30 07:32:08
2
princeponsiano3
coba tz :
hiii sasa munataka KUGUSA pabaya
2026-08-30 00:48:54
1
petro.julius
Petro Julius :
kaaaa kazi hiii bola niuze juisi
2026-08-31 19:07:32
0
To see more videos from user @5star_newstz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About