ni mimi kabisa Allah ani hifadhi na mabaya yao namwachia Allah In shaa Allah yataniepuka kwa idhini ya Allah
2026-08-30 07:38:17
5
febby :
je na kama kila mtu flan ukimuona moyo unalipuka haswaaa ad moyo unadunda kwa kasi sana hiyo tatizo nn mpendwa🥲🥲😌
2026-08-30 10:17:32
2
♓ :
Mimi hutokewa na hii hali mara kwa mara ata Leo nko kwenye hii hali
2026-08-30 05:44:40
1
cute cute😘 :
nimechelewa. mm jaman ni wiki moja nyuma nilikuwa moyo unaahangaika unaripuka nakuwa na waswas . Mpaka nikasema au Nina presha mm jaman dah
2026-08-30 07:43:01
0
whitille♓from🇹🇿💪 :
na ukinyolewa nywele na hazioti tafadhali nifanyaje
2026-08-30 13:29:30
0
salama :
kuna mambo mengi sna hutokea kwny ulimwengu wa roho bila mtu kujua kwa urahisi wenye bahati zao wataona ishara km ivo ukikutana na mbaya wako ww kimwili unaweza usimjue ila ulimwengu wako wa roho unajua uyu ni adui ndomana kuna mtu ukimuona unashtuka au roho inadunda ujue cyo salama.....ukituliza mapepe km kuna kitu kibaya utaona unapata ishara flani kwny mwili wko ukiwa mjanja unaweza kujikinga na ubaya pale unapopata dalili flani unaomba na kuukataa ubaya wwte kila kitu ni maombi
2026-08-30 13:02:07
0
mama zaidani :
asant nitafny ivy mimi ilinikutjz najna loh inalipklipk ad nikajuta
2026-08-30 08:05:25
0
Tiffah the boss lady 😘 :
kwani hua nn kinatokea jamani
uyu mtu anazamilia nn kukufanyia
2026-08-30 05:26:23
0
1 :
niliposoma huu ujumbe nimepata kizunguzungu jamani kuna nini
2026-08-30 10:38:33
0
getrudendenji :
asante
2026-08-30 13:45:08
0
Sebbyjay :
Shukran
2026-08-30 10:45:55
0
Mom Rumayna 🌹 :
ndo ninayopitia mm jmn moyon unaniuma km kunakitu nmefanya najickia tafran2 kilasaa na staghafiru2 Allah aniondoxhee 😭
2026-08-30 11:47:24
3
shahida mohaa :
mimi pia niko hivyo wiki yotee hii moyo wangu wagutuka hafla
2026-08-30 10:17:21
0
Naomi Mayele :
mda si mrefu moyo umenirupuka apa jamn
2026-08-30 07:44:48
0
Mary Mgema :
nikweli kabisa hiidalili ilishanitokea napia nikapatw nahilo jambo baya
2026-08-30 09:28:29
0
Nuryati🧕🌠 :
nimimi napitia halihii jmn
2026-08-30 03:46:49
0
kimlove💕 :
asante sana nipo kzn apa moyo wangu unalipuka atari
2026-08-30 08:15:46
0
\(^.^)/SWAHIBA :
Ndo ninachopitia sasa hv jmn
2026-08-30 06:52:27
0
Zainabu Ramadhan :
aminaaa
2026-08-30 08:09:45
0
kakapepe :
👏👏👏mungu akujaalie sana
2026-08-30 14:27:46
0
Fearless.leo♌️ :
Mm jicho la chini likicheza lazima nione kitu kibaya nifanye nini nizuie mabaya yasitokee pindi jicho hilo likiwa linacheza
2026-08-30 05:09:57
0
khadooj :
Asante sn
2026-08-30 13:32:56
0
To see more videos from user @shekheamissi, please go to the Tikwm
homepage.