Mimi nilikuwa katika hiyo khutba ya abu Hashim حفظه الله .Skiza full clip umeikatiza. Alisema kuwa hii hadith imepokelewa na Jarir Ibn Abdillah . Wakaja watu katika kabila la Mudhar hawakuwa na mbele wala nyuma kisha uso wa Mtume ukabadlika akamwamrisha Bilal atoe Adhan na walipomaliza kuswali akatoa khutba akawasomea ayah
يَا أَيُهَا الَذِينَآمَنُوا اتَقُوا اللَهَوَلْتَنظُرْنَفْسٌ مَا قَدَمَتْلِغَدٍ ۖ وَاتَقُوا اللَهَۚ إِنَاللَهَخَبِيرٌ بِمَا تَعْمَلُونَ»
Ndio Swahaba mmoja akatoa gunia la tende ambalo Mtume akashindwa kulibeba na mkono ndio Mtume akafurahika na kusema hiyo hadith
من سن في الإسلام سنة حسنة......
Sasa hapo walitoa Sadaqah na Sadaqah ni jambo linaruhusiwa katika Uislamu. Hawakuzusha lakini alianzisha khairat ya Sadaqah.
2026-08-30 05:23:03
1
zakariaomari968 :
Maa sha Allah...
2026-08-30 04:17:23
1
Alfaqeer :
Wallahi nimezinduka sana leo kwa hakika kumbe twariqa ndo njia sahihi dah
2026-08-30 04:00:19
1
Badru Badra :
Twayyib Sheikh Iswaam Ddin 🥰🥰🥰
2026-08-29 23:42:08
2
Early motors&spares :
قال إبن عمر رضي الله عنهما:
كل بدعة ضلالة وإن يراه الناس حسنة
tuchukue qawl ya swahabah au mwanachuoni?
كل ni ya kuenea mpaka ije إستثناء
kwa mfano Allaah سبحانه وتعالى asema:كل شيء هالك إلا وجهه
ingekuja كل بدعة ضلالة إلا حسنة
tungechukua izo tafsiri umeleta,wanachuoni pia wanateleza wanapewa udhru
2026-08-30 06:59:20
0
user9241013698173 :
Taraweh ni bid'a lakini ni bid'a nzuri. Jee tuachane na tarawehe?
2026-08-30 07:16:14
0
uthman :
shukran sana Sheikh wetu Allah akuhifadhi tuzidi kunufaika...
unatufungua macho mwenye akili huru ajionee..
upande mmoja matusi na kutia watu motoni na upande mambo kwa ushahidi wa vitabu na dalili za wanazuoni.
2026-08-30 03:48:54
1
AlJadeed :
Masha Allah
2026-08-30 06:28:01
0
muhammadmasoud69 :
جزاك اللهُ خيرا
2026-08-30 06:19:37
0
Al Misbah Shariff Khalifa. :
الشيخ الأستاذ عصام الدين جزاكم الله خيرا وبارك الله فيكم ajuwae ajuwa na kinyume chake? 👍
2026-08-30 06:47:07
0
userkashakara :
tofautisha kuanzisha kitu na kuanzisha ibada
2026-08-30 09:00:06
0
abdul_luza :
wao wanatoaa radd hao bila kutoa vitabu
2026-08-30 06:50:25
0
noor_deen :
hazina yetu. Allah akuhifadhi
2026-08-30 07:50:11
0
AlJadeed :
Mwenyezi Mungu akuhifadhi lswaam nini maana ya neno sannah au sunnah kwani hawaelewi.
2026-08-30 06:24:38
0
userkashakara :
kinacho katazwa ni kuanzisha ibada ambayo haikuwepo na siyo kitu kitu ni tofauti na ibada
2026-08-30 09:02:53
0
Alfaqeer :
Wataelewa tu
2026-08-30 03:59:25
0
abdallah25455 :
Jazakallahu kheyr
2026-08-30 00:00:19
1
user4358689065476 :
Shekhe letu Twarika yetu Shekh Inswaam.Allah akupee umri mrefu wenye kheri na wewe tuko.na weee bega kwa bega 🥰🥰🥰Tuuko nyumaa yako hata vipofu wanaona
jamani twarika twasomeshaa na twasomaa kwa dalili....
2026-08-30 04:08:32
0
anu :
ala kumbe kampata mwalimu wake kwa kuita watu waongo
2026-08-30 09:11:18
0
Simba :
mashaallah sheikh letu Allah Akuhifadhi
2026-08-30 05:07:45
0
Alhaqeer Qaassim Mtunguja :
WAKIJA KURADD KAMA HAWATOI VITABU WANAROPOKA, USIJE UKAWAJIBU SHEKH
2026-08-30 05:41:38
0
Salim Amigo :
2026-08-30 04:35:26
0
amarein111 :
Masha Allah shukran
2026-08-30 04:42:03
0
To see more videos from user @esamkaawele2024, please go to the Tikwm
homepage.