@rashid_mansa: RWANDA IMEWAKA! DIAMOND PLATNUMZ AMEITIKISA KIGALI! Ripoti kutoka kwa waandaaji wa show ya Diamond Platnumz huko Rwanda leo zinadai kuwa ukumbi umetapika watu, huku mashabiki wakijaa kila kona kiasi kwamba hakuna pa kukanyaga! Inasemekana ukiamua kutoka nje kwenda kupata hewa kidogo, ukirudi unaweza usipate tena nafasi ya kukaa! Wakazi wa Kigali na viunga vyake wamejitokeza kwa wingi kumshuhudia Mfalme wa Muziki kutoka Tanzania akilitawala jukwaa. Na hii si mara ya kwanza kwa Diamond kufanya show Rwanda. Msanii huyo ameshawahi kutumbuiza nchini humo mara kadhaa, na kwa namna mashabiki wa Rwanda wanavyompokea kila anaporudi, Rwanda sasa imeanza kuonekana kama nyumbani kwake! Diamond Platnumz akifika Rwanda, mashabiki wanajua kazi yao. Wasafi wamevuka mipaka! #diamondplatnumz #rwandatiktok🇷🇼🇷🇼 #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿 #tiktokzambia🇿🇲🇿🇲 #kenyantiktok🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

Mansa
Mansa
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 23:41:33 GMT
7002
594
6
5

Music

Download

Comments

officialvuitton
A-U-R-A :
big lion 🦁 king of Africa 🌍
2026-08-30 00:57:16
0
user30279013219403
maa karia Koo :
poa
2026-08-30 08:51:10
0
felixpacifique513
felixpacifique513 :
cool
2026-08-30 05:30:28
0
princerusumba
user7338070733698 :
nisha ku chukiya
2026-08-30 08:34:21
0
rifaakhrifaakh
rifaakh :
diamond must respected 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥
2026-08-30 07:15:27
0
nagnagalebamba329
Bamba :
🥰
2026-08-30 08:13:30
0
To see more videos from user @rashid_mansa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About