Hata kwenye Qurani hakuna sehemu Mungu kasema Muhammad ni mtume zaidi ya Qurani yenyewe na Muhammad kujisema mimi ni mtume wake na kwenu.
2026-08-30 04:48:49
0
Eddy Brizzy :
mashaallah kijana endelea kutoa Elimu.....kuhamasisha dini ya haki...
2026-08-30 03:14:03
3
dal001 :
Injili ni NENO alichosema Yesu na akaandikwa na maana Yesu alisema,Matayo 10 :20 Kwa sababu si ninyi mtakaokuwa mkizungumza bali ni Roho wa Baba yenu atakayekuwa akisema kupitia kwenu.
2026-08-30 03:46:18
0
Regnard Ng'oma :
minlicho kielew bibilia cyo yote nimaneno ya mungu mengin Niya watu
2026-09-01 11:40:23
0
Halima Ally sheda :
said mungu akupe umri wenye baraka
2026-08-30 03:37:22
2
binjumaa :
mashaall
2026-08-30 03:19:25
1
Big-Jay :
Eti Matayo alikua mkikuyu , ubarikiwe Sana Sayid Young
2026-08-30 13:33:10
0
Sea Eater :
Young Sayeed peana mda ajielezee
2026-08-30 19:15:32
0
shafi majiko :
Allah akbar
2026-08-30 04:35:15
0
Raden khan :
Allah akuhifadhi shegh wangu
2026-08-30 03:41:57
0
accosta costa :
takbir allah akbar
2026-08-30 04:20:09
0
heart beat :
kijana anakuja vizuri mashallah but peana mda kiasi ajieleze
2026-08-30 05:52:27
0
Farida Hussain :
yani mwana wa Mungu awe Yesu we unatoa kwa yohana
2026-08-30 09:26:06
0
tausiviwango :
mabrouk allah akurisishe kazi ya mzee wetu mazinge kwa idhini ya allah inshaallah
2026-08-30 05:14:30
0
user3415802418062 :
asalaam alkyum hizo ndo faida za sheikh mazinge Allah akubariki sana sheikh mazinge na mdogo wangu Said Allah akuhifadh
2026-08-30 03:56:15
0
Abdillah Said :
Wagalatia amkeni mje kwenye haki
2026-08-30 09:29:35
0
Bila kuchoka :
kijana keshaanza kuiva Masha Allah
2026-08-30 05:42:38
2
Jay_mooh :
Nani ame notice venye hii generation mpya na kulingania dini hawatumi nguvu kelele wala ubishi na hawalazimishi wala yaani wanakutia mahali ukajidhalilisha ww mwenyewe.. ukitapatapa.. mfano uyu alipoteza pale aliposema "hatuezi kwama hapo hapo lazima tuendelee"😂😂
2026-08-30 08:38:35
0
Rausa khamisi :
ndo wanavyo kaa makanisani na kudanganyana hao
2026-08-31 21:52:01
0
minaha ibrhmu :
😍😍😍
2026-08-30 04:23:46
0
To see more videos from user @youngsayeed, please go to the Tikwm
homepage.