@mdogowakemopao2: 😭😭😭😭😭

Frank Barnaba Classic No2
Frank Barnaba Classic No2
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 03:26:42 GMT
285157
10287
260
810

Music

Download

Comments

samuelbaraka690
Samuel B :
God 🙏🙏 protect us 🙏🙏
2026-08-30 21:27:39
0
kadilida_
kadilida_ :
Kimbunga hidaya mungu alitulinda na hii elninyo mungu atatulinda Amina🙏🙏🙏
2026-08-30 13:24:56
82
jamilamkumbukwa
Jamila mkumbukwa :
Sisi tuliopo zanzibar itakuaje🥹
2026-08-30 09:12:51
69
user2586968137630
jojo💕 cut£ :
amn wakushindana na mungu amn mvua kubwa itakayo nyesha katika jina la yesu
2026-08-30 17:09:10
86
stamilialexmwikola
janeth :
tuwaombee wazazi wetu ambao wapo vijijini Mungu uwalinde
2026-08-30 15:36:19
54
user6574463179475
pendo luckasi :
kwajina layesu haitakuwepo
2026-08-30 13:17:55
24
user8806138730191
Rehema kassimu💕💕 :
nan kawasiliana na mungu mungu wetu ni wahuruma atatulinda na wala mawi mbi hayatatugalikisha kwa jina layesu
2026-08-30 12:15:11
37
user71330543373970
Ruty :
Bora ht waliokufaga tuliopo duniani tunateseka sn Kila sk vitisho
2026-08-30 16:04:52
7
baraa.tz
balaa.tz :
tumrudie Mungu yesu yupo karibu kurudi tusiogope izi ni dalili tu
2026-08-30 21:36:19
2
robina.joshua.sag
Robina Joshua Sagamo :
Sitaogopa kwa maana namwamini Mungu mtuliza dhororuba zote ambaye hata bahari inamtii🙏
2026-08-30 14:52:55
16
fatm3926846140552
Fatma❤🧸🦋 :
Subhallah Allah atulindie vipenz vyetu kwa ss ambao tuk mbal😳
2026-08-30 06:00:17
20
chrissnyange
𝐂𝐡𝐫𝐢𝐬𝐬𝟒𝐇 :
Dodoma huku tusiwaze hii haituhisu
2026-08-30 13:39:38
7
rinard80
Rinard✨ :
Kumbuka tumeamimbiwa itanyesha mvua kubwa ndani ya aiku7 bila kupumzika maana aake ni mwisho wa dunia
2026-08-30 04:02:27
19
user3777295265572
Babe girl :
mungu yuu nasii amini
2026-08-30 11:03:08
11
lailathfanuel
ashley :
Yaarrab tujaalie mwisho mwema
2026-08-30 12:33:30
3
patrick.njau
Patrick Njau :
na tz tunakufa wote akuna anae salia shiken iyo
2026-08-30 20:24:59
0
ruurama
ruurama :
sie tuano kaa karibu na bahari Allah ipeperushe mbali uuh mtihani
2026-08-30 06:40:48
6
sarah98067
Sarah 🦚 :
msiwaogopeshe watu bwana mi niko dodoma jamani sijui ka itatufikia😂🤣😂 iyo el nino
2026-08-30 08:54:56
7
nuraty.omy
nuraty omy :
ishindwe Kwa jina la yesu
2026-08-30 18:50:00
3
neemarobert23
Neema :
Mungu mwema anajua yote
2026-08-30 18:28:48
1
user6114371661034
silent killer :
akuna cha eliminyo wala emino
2026-08-30 13:15:14
2
mwajuma.zuu
Mwajuma Zuu🇹🇿👈 :
nihame kigamboni sasa🤣
2026-08-30 09:04:53
0
user5408526807258
Mrs emma :
mwez wa ngp
2026-08-30 04:41:08
0
To see more videos from user @mdogowakemopao2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About