Chanzo cha Matatizo ya Tanzania ni chuki na ubaguzi vikichochewa na udini
2026-08-30 08:25:15
5
kupawa :
mama ni mtu sana SEMA mapandikizi ya roho za bahadhi ya watu ndo zinashida ila mama azibe tu maskio apige kazi
2026-08-30 05:55:27
7
twahir junior :
mbona bimkubwa han shida Ata uyu tundu lisu siku chadema wakikaa na kukir makosa na kumuombea msamah tundu lisu bas anaachiwa huru na saiv mbona maiaha yanaendela vizur tu
2026-08-30 08:24:03
4
jackline simbila :
Mama nampenda sana jamani basi tu wanamtukana sana ila ukichukiwa na watu ujue amewashinda
2026-08-30 08:52:05
4
team Tz :
tupo pamoja na mama samia oyeee ❤️❤️❤️❤️❤️
2026-08-30 06:43:57
4
In god we trust :
Umeongea ukweli ila watu hawajui au wanasahau
2026-08-30 04:35:38
2
khushee :
tunampenda mamaetu samia ziba masikio mama piga kazi tunaona maendeleo yako
2026-08-30 08:24:52
3
Hkabwela :
siku zote binadamu ata umfanyie wema vip atakupoza pole San mama Mungu atakujaalia kilalaheri mm nakuombea Dua siku zote
2026-08-30 08:36:35
4
zainabyohana622 :
asante san mm mwenyew nataman kuwa kama yey kujiami kwake napenda san