Mtoto wa miaka 15,16,17 ni mdogo bado. Hio ni child marriage
2026-08-31 07:18:47
17
jaynah🤍✨️ :
shekh natamani uje uwaeleze wazazi wangu upande wa baba.
2026-08-30 12:07:52
15
miss chuwa🎀🌹🍎 :
hhhhhhhhhhhhhhh 🤭
2026-08-30 13:36:35
1
Unique :
Sheikh waoaji hakuna
2026-08-30 18:24:35
4
shadida ❤️❤️ :
shekhe njoo umwambie mamaa angu
2026-08-31 17:41:57
1
Teddy Bear🧸🥰 :
ngoja niweke status baba na mama waone
2026-08-30 15:39:34
6
shaymaa❤🥰 :
njooo umnasihi na huyu baba angu huku hatak ndoa ya mtu hata 1
2026-08-30 06:47:23
7
Maliha🦋🤎 :
wazazi wanawez wakaa wanatak Ila ss watt 😁
2026-08-31 01:47:50
1
fatmam :
mungu anijalie nipate ndoa mm hat mwakani inshallah ♥️
2026-08-31 06:32:44
3
عائشة 💍💖 :
Ao waume ndo mtihani mtu unatarajia huyu tutafunga ndoa lkn anakuja kimatamanio na ukikataa ndo humuoni tena akija mwengine ndo ivo ivo mpk mtu anachoka bora tuu atulie na wazazi wake mpka sasahivi nina was was mwanaume akinifata tuu nampuuza najua ndo wale wale 🤧💔
2026-08-31 09:22:09
4
MR A.I :
HILO MUHIMU LAKIN TUCHANGIE NA UJENZ WA MSIKIT
2026-08-30 11:57:28
6
Aysha🥰 :
ndoa ni rizki......
2026-08-30 14:31:19
5
🫀pisces girl :
mmmh baba angu hta akisikia hii bado atasema mda bado😂😂😂😂
2026-08-30 11:52:30
5
shabaniabdallah48 :
mm mama htk anasema ningojie mwaka mmoja et jmn hiii kweli herii iyyy
2026-08-30 10:08:29
5
dotto :
njoo uwambie ww labda wanasema ntateseka bila kuwa na kaz
2026-08-30 13:14:35
5
uhty fey💞💓 :
shida sio wazazi wangu shida ni mm🥺
2026-08-31 05:24:51
1
wiss_bee :
sjui nimtumie baba😂
2026-08-30 16:34:09
1
fidrat😍 :
sioni coment za wanaume humu
2026-08-30 16:45:49
2
Ukhty Shery :
katika dunia hiii ukamuozeshe mtoto wa miaka 17.heeee mhhh labda ndo tuombe hizo salama ila ni mtihani mkubwaaa.kwasababu hao waume haswa wako wapi?wallah balaa
2026-08-30 14:17:14
3
fatihiaiddy :
tuombe uzima na allh atupe waume wema ila useme n fitna hapo sheeeh hapan kwakwel kila mmoja anaridhi yake 💯👆
2026-08-30 14:34:36
4
To see more videos from user @abuu_muswaddiq_nassir, please go to the Tikwm
homepage.