@dw_kiswahili: Wako wapi? Hilo ndilo swali linaloendelea kuwasumbua familia za watu waliotoweka mazingira ya kutatanisha. Leo, dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Kutoweshwa kwa Nguvu, kumbukumbu zinarejea kwa watu 83 ambao kwa mujibu wa TLS walidaiwa kutekwa au kupotea nchini Tanzania kati ya mwaka 2016 na 2024.  #DWTunavuma #vumakwakishindo #humanrights #tanzaniatiktok

DW Kiswahili
DW Kiswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 04:13:50 GMT
25614
2306
106
103

Music

Download

Comments

lah_katuju
lah_katuju :
Sad moments in our country 🥺🥺🥺
2026-08-30 06:23:10
0
ndelwajr0707
ndelwajr0707 :
We really appreciate your work DW Kiswahili for fighting for voiceless
2026-08-30 07:40:58
0
mbinga.boy0
mbinga Boy :
so pain
2026-08-30 04:56:24
1
afwilile.lwinga
Afwilile Lwinga :
kiukwel tanzania yetu Sasa hv hakuna hakuna haki kabisa
2026-08-30 05:17:57
44
momy.alan
Momy alan 💖 :
More than a pain🥺
2026-08-30 06:12:40
0
muhigione
MUHIGI One💪🏻 :
DW Mungu aendelee kuwainua kwa viwango vya juu zaidi
2026-08-30 05:05:14
33
user9595007533090
BEA SIMBA :
in god we trust 💯💪🙏
2026-08-30 07:00:39
0
allenardo
janey :
vyombo vya ulinzi na usalama havitulindi tena.... nani muhusika wa haya matendo.... ndio maswali yetu w tz inauma sana
2026-08-30 04:24:48
25
enzowences
EÑZO :
mnafanya kazi ya wito Dw
2026-08-30 04:50:56
11
tizirukwa
Tizirukwa🇹🇿 :
kazi nzuri sana DW
2026-08-30 05:29:20
6
johseydedaxh
𝐃𝐞𝐞_𝐉 :
ipo Siku ukweli wote utaanikwa wazi dunia yote ijue kama ilivyokuwa Syria #MUNGUANAONA
2026-08-30 05:57:16
5
realmshua
Ezekiel Mwakajila :
Pale angalau KATIBA itakapo rekebishwa
2026-08-30 05:19:51
2
okomozeman
Okomo Ze Man :
Mimi nawambiaga Mama Mkanye Mwanao unamuona, Mwanao anaanza harakati za kusumbuwa Mamlaka, una mwangalia tuu akishatoweka ndio mnaanza kulia
2026-08-30 05:57:16
2
jacob.stephan.ste
Jacob Stephan Stephen :
natamani kukoment ila nitapotea lakini umejua nilichomaanisha
2026-08-30 05:57:33
1
rehemakimari322
Mama Abby :
ukisema beni saa nane najikuta nikilia jamani baba angu mdogo 😭😭😭😭😭 nakukumbuka baba bado upendo wako kwetu unaisha
2026-08-30 07:55:44
1
sir.leli
Mwachitu. :
Wanaofanya hivi wanadhani wataishi milele kwakua wana vyeo.. Binadamu bana
2026-08-30 06:19:18
1
victoryisourright
Honesty🌹 :
Hivi Hawa Ccm wanajiona kutufanyia haya watanganyika ni sawa kweli 😭😭😭
2026-08-30 07:08:20
1
goodluckbenson08
~ :
eeh mungu mbona unachelewa kujibu hayaa
2026-08-30 06:51:00
1
ms_2m88
Goodness :
Suluhu ndio suluhu
2026-08-30 05:52:48
2
gasthom5
Gaspar.+255 :
nikuzidi kumuomba Mungu na kuamini kwa aya maumivi ni makubwa na ali nimbaya
2026-08-30 07:24:17
1
ada.b67
Ada B :
DW msiogope kuendelea kuwakumbusha watu haya kwani lenye mwanzo alikosi mwisho maana sisi tunaoamin na kumtegemea mungu tu atambua kuwa mungu amtupi mja wake
2026-08-30 06:10:17
3
user7110023581114
user7110023581114 :
Kwa nn serikali na jeshi la police hawasemi ukweli kile kinacho tokea na wao ndo wanao Tajwa sana kuwa ni wahusika wa kutoweka kwa hawa watu au kupotea kwao.
2026-08-30 05:05:35
0
jr.angelo25
Genge empire🥾🥾🇰🇪 :
hatutaki nchi ifikie pabaya au kuzuriana wenyewe kwa wenyewe,, ufumbuzi wanao serikali iliopo madarakani kwa sasa, na jeshi la polce" amani ikitoweka ni serikali , binafsi tunaomba mamlaka ichukue hatua
2026-08-30 05:38:45
1
tallwakala
masco kisaka :
Hiii Mambo Hiskie kwa Jirani
2026-08-30 08:23:35
0
quema96
Lizy Queen :
Mungu amenyamaza sanaaaaaaaaa
2026-08-30 08:35:00
0
To see more videos from user @dw_kiswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About