Yani sio usaliti WA ngono tuu Yani wanaume hata tukifumania sms ya viashiria vya mwanaume mwingine ujue kabisa goobyee Yani siku hyo hyo nafasi haipo
2026-08-30 08:26:25
17
bigboy :
ukweli dadayangu mm mwenyewe nilisha msamee mkewangu lakini kilichotokea nilianza kumchukia moyoni ila majukumuyangu nikitimiza tendo la ndowa tena adi anilazimishe ukweli nilimtowa moyoni kabsaa ila baada yamuda kaludia tena makosa nikamuacha yani siyopowa
2026-08-30 04:34:46
13
Kibu Boy :
exactly 100%
2026-08-30 07:22:51
4
Chikuni boy :
acha anilelee wanangu
2026-09-01 13:36:52
2
user,,sebi malsaba :
na mwenye hajai omba msamaha
2026-09-02 19:29:23
0
karafuu :
akunasiku mwanaume anasahau jamnbo
2026-09-02 14:32:32
0
mrs kotey💘 :
hat mm pia ivyo ivyo anavyo fikiria yeye hat mm pia vilevile nafikiria, bhn vibe yang mm nikwenye simu
2026-10-01 11:53:49
1
Elias Dossa :
acha kutoa siri ya kambi yetu
2026-09-05 19:11:15
2
MR NATO :
fact my sster
2026-08-30 13:40:29
1
chinga jossp :
habar ya jumapili dada naomba namba yako ninashida
2026-08-30 04:35:32
2
@ayatollahmad :
mbona unawaambia ukweli sasa?
2026-10-04 20:27:36
1
Mwaisa Og :
kumbe Wanaume wengi wamesalitiwa wanapitia stress ni wengi 😁
2026-09-02 16:57:48
2
ibra :
dada weye kwanini unasema
2026-08-31 00:27:38
1
Lamour :
oa sister kusamehe ni uongo yan mm moyo umeshakufaga kitambo
2026-09-04 13:40:39
4
saidi luango :
dada nakufuatilia sana nimekukubali sana endelea kuwapa watu elimu mungu akulinde
2026-08-31 13:41:31
2
sivihihwa :
mwalimu🌹🌹🌹
2026-08-30 21:46:12
1
Big boy tz :
ndio
2026-08-30 05:45:02
1
Sharf :
nikwambie tu ukwel umenigusa asilimia 100 yan kama ulikuwepo kifup ndio maixha ninayopitia kwa xaxa
2026-08-30 06:07:19
3
nikison olejoel :
kweli dada Mungu akubarik yaani umeongeleya kitu ambacho nikonae kwa sasa kuhusu mumke wangu lakini sababu nikwamba ana kiburi
2026-08-30 13:50:01
1
LUCY MAKOKHA :
Kwan hakuna Wamama huku
2026-09-29 02:41:22
0
Regina Haule :
mm myenyewe nilimchukia mme wangu hiyo kwa wote bwana
2026-10-16 04:05:53
0
Delano-M🇨🇩🇺🇬 :
Dada'ngu, uko smart kbsa
2026-10-14 21:17:08
0
Mgalilaya :
Kweli kabisaa
2026-10-18 18:04:22
0
To see more videos from user @evodiachambulikazi, please go to the Tikwm
homepage.