@officialnice04: Alikuwa hataki kuondoka bila kumuona mama ake 🥹🥰NAN KAMA MAMA JAMN😂❤️

Niee💞💞
Niee💞💞
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 04:21:45 GMT
381313
44324
1587
500

Music

Download

Comments

sheillahidd
shey :
apo mwanaume anasema kimoyo moyo ebu twende na wewe bna😅😅😅😅
2026-08-30 07:54:01
1302
bintykassimu
Buttercup🫦🍂 :
Ivi mimi nitalia mbona sioni Dalili 😂😂😂😂
2026-08-30 09:27:29
436
mariam.issa353
Mariam Issa :
Mimi alinisindikiza mpaka stendi nilivyokua naondoka alinipungia mkono kumbe alikua ananiaga sijamuona tena tangu apo mungu amlaze mahala pema peponi 😢😢😢🙏😭
2026-08-30 14:05:53
813
poenmeme287
Poena :
Maharusi siku hiz mnakuwa na simu zenu mm nikiolewa simu naacha atasajili line na anunuwe simu kama akiyaka tuwasiliane akiwa hayupo
2026-08-31 15:16:51
0
zaigmail.com53
[email protected] :
hakuna kama mama i love you mama angu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-08-31 23:43:33
0
user263137484982
Aim laty brand 🦃🦃 :
Pole san my
2026-09-01 11:25:04
0
esha11g
Faizah :
very beutiful not too much make-up
2026-09-01 09:02:17
0
manilatran
manilatran837 :
tuseme iinshallahh
2026-09-01 14:55:24
0
salmamasoud30
Smile girl 🍻🫦🍂🪹 :
kanilizaa wallah jaman, mim sina mama nitaliaa sana wallah siku ikifikaa 🥹🥹
2026-08-30 06:44:09
214
deeh_deliciouscakes
deeh_deliciouscakes :
Mimi hiyo siku ikifika nahis ntalia had nizimie maana Sina Mama wala Baba 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔🙌🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️
2026-08-30 17:58:16
42
muzney.baby
Muzney baby :
Tulio tamani siku ya harusi tumuage mama lakin ayupooo tuogonge like hapa😥😥
2026-08-30 09:51:29
20
blackdiva294
꧁ ♈️𝐵𝐿𝒜𝒞𝒦𝒟𝐼𝒱𝒜𝐻🖤꧂ :
usilie siku watu hawakai sana kwenye ndoa😂ni contract
2026-08-30 19:54:34
7
its.me.official.d
its me official dee👄🧚‍♂️ :
Mimi Hapana nitafurahiii Maana Mimi na mama angu dakika mbili hapakaliki 😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-30 08:42:27
276
cutenana30
cutenana30 :
umeaanza kulia mapema mwanetu kua na akiba ya machozi 😂😂
2026-08-30 11:47:21
82
nilham80
🍁™nilham ™lastborn®💥 :
usilie usiku kuna zawadi yako sawa
2026-08-30 15:39:19
5
fatma.swalehe3
Naah💞 :
pole dada usilie usku utafurahi kipenzi
2026-08-30 14:20:27
80
havery_1
havery💞💞 :
Alikuwa ndani anacheka shengesha km zote mda wa kuondoka chozi la mtoka kweli hakuna km mama🥹😂💕💕
2026-08-30 06:05:59
89
To see more videos from user @officialnice04, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About