mwanaume fanya yote lkn asije akajua unamcheat au akakufumania aiseee hata kama anakupenda vipi atakuacha
2026-08-30 21:03:34
331
Areum :
Na nyie wanaume mkitusaliti je😳
2026-08-30 07:27:56
107
CHRISTOPHER :
mwanaume anasamehe lakini hasahau
2026-08-30 06:40:39
229
BAADRU__ :
kama una mkubali ali kamwe gonga like 👍
2026-08-30 18:37:14
213
Jojo Lee :
mbona wangu kanisameheee😳kwaiyo hajasahau😷
2026-08-30 16:05:03
30
mom J :
Kaka yuko sahihi kabisaa binafsi nimeelewa sana
2026-08-30 09:38:10
49
AISHA :
mbna me siwezi kusalit jamni hata akinitongoza mwaume mwingine naonamwili wangu unatetemeka kwa woga yaani sijuh nikoje
2026-09-01 08:59:54
11
NCHA KALI GALUGEMBE :
kumbe unaongea point mkuu
2026-08-30 07:17:12
19
King of the Jungle :
Mwanaume hasamehe wala hasahau mzee
2026-08-30 07:13:28
56
SIRI OIL 🫒 :
ukwel nikwamba maumivu ya usaliti hayana jinsia,so ukimsalit mume au mke usijidanganye yakwamba atasahau,na mwanzo wa upendo kupungua unaanzia hapo.😁😅😂
2026-08-30 07:36:50
52
Monicah🇹🇿🩶 :
Kwanza mwanamke akikusaliti huyo siyo wako jamani 😂😂😂😂
2026-08-30 14:56:28
7
💝mahusiano na ndoa🍹 :
swez kumsaliti Ali kamwe mm😭
2026-09-01 16:37:30
7
sophia sophia :
mme wangu alinicht nikaenda nyumban kuna mtu namuweka kwenye nikaambiwa funguo inayofungua makufuli mengi hutuzwa naa kuful ikifunguliwa na kila funguo hutupwa 😂😂😂kwakwel nililia
2026-09-01 11:56:06
5
Marley Constantin NaloyareHien :
wanaume zamani walikuwa hawaongee 🤣
2026-08-30 07:28:22
9
Ramuziy kalu :
kweli kaka
2026-08-30 06:26:22
8
danielakonaay :
Ally kamwe akili mingi 🙌
2026-08-30 17:26:45
7
MALUME⚽ :
Mwenye T-shirt ya NMB au CRDB aniazime jmn kesho natambulishwa ukweni😁🤝
2026-08-31 07:23:53
14
recho momo :
kwani duka la niffa liko mkoagani
2026-08-30 13:22:37
5
loday :
Fact
2026-08-30 05:40:03
5
amosi 98 :
kweli kaka
2026-08-30 06:15:20
6
KING DEBEJO 👑 :
kila nikitaka kusamehe nakutakana na clip 😂 😂 kama hizi natakiwa ku uninstall tiktokuuz
2026-08-30 08:36:09
10
salum h.h :
samtam utopolo unaongea ukweli
2026-08-30 06:07:36
6
Ruu :
haaaaaa
2026-09-01 11:19:33
0
king mapoda :
kwell
2026-08-30 14:14:33
2
Msokile :
fact
2026-08-30 15:08:13
2
To see more videos from user @itscarlue, please go to the Tikwm
homepage.