Mimi hata kukodisha chumba na choo huku Maramba Mawili napata stress, dogo atwambie hiyo hela ya kukodisha ghorofa kkoo amepata wapi hatutaki kona kona.
2026-08-30 15:01:27
9
mOmA :
Mwenye nacho uongezewa sawa hatukatai ila capital yake hamjazungumzia
2026-08-30 13:29:38
12
Pulkeria Elius :
akili kubwa
2026-08-30 09:44:36
4
benard kavula :
good sanaa great mind
2026-08-30 07:19:54
1
Shamsa amour :
Future billionaires
2026-08-30 17:40:33
2
sweetmellon.08 :
Pia nafikiri kama Kuna majengo ya serikali yaliyoachwa baada ya serikali kuhamia Dodoma ,pia yanaweza kubadirishwa na kuwa hostel
2026-08-30 07:34:44
5
Msukuma mjanja :
vipi kuhusu kalio lake
2026-08-30 14:58:01
2
UNI 😂 :
Kukodisha ghorofa kariakoo 🙌🏾🔥😂😂😂
2026-08-31 07:47:20
0
bravoo663 :
Tuingie mkatab wa uwekezaji
2026-08-30 17:21:43
1
amimo_77 :
Safi sn
2026-08-30 08:17:08
3
Yusuph _Amiry :
Wanyamweziii oyaaa sio powaa
2026-08-30 18:08:16
0
CANDY_CALIFORNIA :
AKILI KUBWA BILIONEA AJAE ALL THE BEST
2026-08-30 17:29:52
1
Ndassi ze don :
pamfleti ndo nini
2026-08-30 20:00:26
0
Noordin Chikaka :
kuna vitu mnekiruka hela kapata wp dogo
2026-08-30 21:44:46
0
Baraka jr25✝️✅ :
2026-08-30 15:13:23
0
Norah :
2027 kazi ipo...darasa 6 na 7 wanaingia form 0ne 2028
2026-08-30 12:11:22
1
mama mkwe 07 :
Alikuja tayari ni tajiri, mtoto wa mkulima hata ya kukodi Chumba kimoja ni mtihani, mawazo watu wanayo, ishu ni mtaji….
2026-08-31 04:35:39
0
UNI 😂 :
Taarifa haijakamilika 😂😂😂😂
2026-08-31 07:47:01
0
Esmaeil Feysali :
uyo mpaka amekodisha Gorofa tayari alishakuwa na pesa uyo kabda
2026-08-30 07:39:57
8
KARIAKOO PLAZA 🛍 :
sindo story zenu wakuu baada wakufanikwa ila unyama mlio fanya mnauruka au sio
2026-08-31 08:36:49
0
Mode Deo :
ndio mana watu kama Hawa wapo wachache,, sio kila mtu. akili kubwa na udhubutu
2026-08-30 19:21:57
0
Gibz :
uyoo wa kitajirii
2026-08-30 12:22:37
0
belya :
lazima ulikua na mtaji tena mkubwa sana
2026-08-30 08:18:40
3
RAMOAL🤨 :
usingeitaja DIT ulikuwa ugomvi huo😂😂
2026-08-30 08:23:09
1
To see more videos from user @kipanjaro_tz, please go to the Tikwm
homepage.