@saleemhemedy: Marhum sheikh Nassor bachu sheikh Nassor alikuwa kiboko wakupinga uzushi katika dini alianza kupinga Masheikh wanaowakogesha nifasi watoto wakike Alipinga Bidaa ya Maulid Alipinga Bidaa ya hitma na arobaini alipambania mwezi wakimataifa Alipambania swala ya eid kuswaliwa mapema
Kigogo wa vigogo aliyesafisha uchafu uchafu wa dini ,mila chafu ,mabidaa na wengiii.amenisaidia sana kuondokana na yasiyomaana ktk dini .allah amlipe ujira wakee na awe miongon mwa wataofuzu janna
2026-08-30 05:44:02
22
Samir Hassan Lau :
Simba wa mimbari hiyoo Allah amrehemu
2026-08-30 07:52:02
12
Schwarz :
Mungu amrehem shekh wetu bachu
2026-08-30 18:32:22
3
Abuu Dhulqarinain :
Allah amjaliye Janna ya juu
2026-08-30 12:13:07
3
user5624100452297 :
mwalimu wa walimu,mtu wa kusimamia haki,Allah amsameh makosa yake na ampe jannat firdaus
2026-08-30 16:48:11
3
user4968187973253 :
Allah amridhie🤲🤲🤲
2026-08-30 06:10:47
1
Nasy♉️ :
my hubby🥰 Allah sw amlaze mahali pema jannat firdaus habiby🥰🥰 yanur ayn🥰🥰🥰
2026-08-30 14:33:49
2
mohamedsuleiman502 :
الهم غفرله ورحمه واسكنه الفردوس الأعلى امين يارب العالمين
2026-08-30 08:17:06
2
عيشة :
Allah amuhifadhi marhem..
2026-08-30 12:41:06
3
muungwana24 :
Sauti yake inaakisi ukubwa wa elimu yake kwani sio kila mwenye kujua ana ushawishi kwa waja wa Allah lkn kwahakika Allah alitulitea huyu kiumbe nasi tunajivunia sauti na ujumbe wa Allah aliyotufikishia
Allahumma ghufir'lahu Warhamhu