Dah,mimi nina mtaji wa laki tatu utatosha kuendesha huu mradi? yaani kununua incubater,mayai ,chakula na dawa ya kuku.gonga like pia coment nifanye nini
2026-09-26 02:15:20
1
AbouZakariya :
best idea ubarikiwe sana, nimepata kitu.
2026-08-31 08:12:42
1
Neema Yolanda :
Mm nimependa ulivyo tengeneza hivyo vyombo vya chakula nimefurahi sana
2026-08-31 18:29:33
6
Huzady😎 :
best idea ever 😉👍🔥 wanasumbua San hawa kuku
2026-08-31 19:07:32
1
Kelvin Sanga :
nahitaji mayai yakutotoresha
2026-08-31 06:40:56
1
user20947214021828 :
mambo kipenzi samahan naomba unielekeze jinsi ya kutengeneza iyo mbao inayozunguka
2026-09-06 16:36:08
2
Muhibabu 🤑 :
naitaji mitetea miwili inayo taga bei gani
2026-09-19 06:22:51
1
Ilham :
good job mfugaji
2026-08-31 09:11:19
1
Giantpoultryfarming :
Mm nmependa hyo mbao ya kuzunguka tu
2026-08-31 12:46:51
4
Sarah :
inapatikana wapi dada mfugaji na hiyo mbao inazunguka umetengenezea wapii
2026-09-05 12:23:57
1
Kelvin Shirima :
hongera unapatikan wapa mitete unauza
2026-08-31 16:21:52
1
Shabani Kanyama :
mayai ya kutotolesha unayo
2026-08-31 13:45:28
1
Al-nufais :
aina gani hii ya kuku
2026-08-31 15:28:41
1
Mr. B B :
wooow safi sana dada mfugaji nimependa io idea yako
2026-08-31 04:39:32
1
Wiseman AL :
Safi kabisa
2026-09-03 06:51:02
1
MRS. DILUKHAN :
nimependa
2026-09-16 03:52:00
1
✨𝔼𝕝𝕝𝕪_ ℙ ✨ :
Niuzie mayai ya kutotolesha
2026-08-31 12:59:14
1
Rickson Ulirk Richard :
unapatikana mkoa Gani nahitaji mayai ya kienyeji
2026-08-31 19:14:53
1
Ryn _Agness :
uko wapi
2026-08-30 19:39:14
1
mama boys👶 :
Naomba video ya Banda lako 🙏🙏🙏
2026-09-01 08:00:24
2
wainaich1 :
idea poa dada
2026-09-01 13:45:13
2
zeyjacky2 :
safi sn hongera ntafanya km wewe
2026-08-31 02:39:08
1
To see more videos from user @dadamfugaji, please go to the Tikwm
homepage.