@nido_da_petiii: #nationalpark #serengeti #ngorongorocrater

Nido_da_petii
Nido_da_petii
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 06:19:39 GMT
43095
2201
74
43

Music

Download

Comments

cofenh5
tourist :
Which country is this!?
2026-08-30 13:02:50
0
ghostjew
MAFIOSO :
haya ndo maisha ya kituristi sasa
2026-08-30 12:17:53
24
iddyjmaliwa
iddyjmaliwa :
amna simba apo ni lamadi kwenda bunda watu wanatembea kwa miguu amna wanyama wakali apo
2026-08-30 08:03:19
5
menyee21
papaa :
hapo ni seronera karibia na choo kule kuna kakiwanja cha mpira huyo dada anapita kuelekea kule puma sheli
2026-08-30 08:27:20
9
qs.jacob
Qs Jacob :
Hahaha nilichezaga ndondo hapo refa alikuja na chui 😂😂😂 mashabiki walikuwa Simba na tembo
2026-08-30 07:56:23
7
damian_legacy1
Damian_legacy :
tena kalibia na gate la serengeti kama unaelekea lamadi
2026-08-30 08:24:28
2
msami.shemu
Msami Shemu :
hapa ni seronela BONDENI MADUKAN
2026-08-30 14:33:34
1
marcopolomapunda
Mapunda mw :
hahahahahah umetisha brother kwahyo huo ni utarii wandan au vp😂😂😂
2026-08-30 08:41:22
1
qtmydjg
qtmyd :
muda wowote🤣
2026-08-30 07:52:40
1
john.yudda
John Yudda :
ni wapi Apo
2026-08-30 09:10:30
0
pjswagg00
Mathew😎 :
kijana wapi huku
2026-08-30 06:47:01
2
donieldaniel
doniel :
fort ikoma apo au vp
2026-08-30 12:41:06
0
alturyclassic
CHENJA 👮‍♂️ :
seronera
2026-08-30 07:53:51
2
belamidevid
Belami Devid :
apo seronera
2026-08-30 08:44:11
0
yusuphmperella
yusuphmperella :
itakuwa sadani
2026-08-30 08:43:48
0
user4084567284619
user4084567284619 :
sehem nyingine ni mbuga ya mikumi kijiji kinaitwa KIKOBOGA maisha ya binadam na wanyama yanaendelea kama kawaida katikati ya mbuga
2026-08-30 08:15:47
0
ladenmwenyee
black africa lion :
seronera hpo
2026-08-30 08:04:37
1
damian_legacy1
Damian_legacy :
hapa kama sio serengeti
2026-08-30 08:23:47
0
joseph.karantin
Joseph Karantin :
hapo golini sanyingine unakuta simba wane lala hapo na ndyo unaelekea Kota shida tupu
2026-08-30 15:18:20
1
hunter2767
Mnyama_wolf :
siku nlikua naend musoma ndo nliona haya mambo
2026-08-30 14:39:13
0
shamsitrainer4
Shamsi coach :
Napajua vizuri
2026-08-30 14:29:50
0
justkazi_ag
Justkazi_ag :
nenda amboseli Kenya ndo utashangaa utakutana mbuzi na swala ao pundamilia wanakula pamoja
2026-08-30 14:14:37
0
fatumakobatiktok.comdjfa
F kimbinyiko 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
serronera
2026-08-30 14:10:20
0
msuyabugatti
MylumiHome.com :
wapi huko
2026-08-30 13:56:51
0
j_kilawe
Jackson :
hayo maisha yapo sehem nyingi hata karatu
2026-08-30 07:50:48
0
To see more videos from user @nido_da_petiii, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About