@kashera264:

Kashera
Kashera
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 06:35:36 GMT
16949
681
16
26

Music

Download

Comments

drricky06
drricky06 ⛎ :
apo .kwenye kwenda kusoma....ni changmotoo sn sanaaaaa " daaah 🔥🔥
2026-08-30 09:08:16
2
naserian.samalike
Naserian Samalike :
❤️❤️❤️Asante sana kiongozi🙏🙏🙏
2026-08-30 07:25:26
1
yasinta.thomass
yasinta thomass :
ni kweli kiongoz tunapata shida sana ata mashirika binafsi
2026-08-30 08:43:03
0
shimbe10
shimbe :
ubinafsi ni mwingi mno ndiyo maana nchi haiendi kwa kasi inayotakiwa,semina kwa watumishi ni shida.Mara umri,ukabila,undugu ni mwingi,kujuwana sana,mtoto wa mjomba,shangazi,baba mdogo,baba mkubwa .Taifa hili tutachelewa sana,Labda tuwe na viongozi wa kaliba kama yako
2026-08-30 11:58:51
1
chris_mokhad.b
MMM :
mzeee pita ufundishe nchi nzima hasa upande wa ardhi na mahakaman
2026-08-30 10:39:00
0
shankuu.saloon.dodoma
SHANKUU SALOON DODOMA :
UTU.
2026-08-30 07:53:55
0
kingbinahmad
Cde.ahmad :
Alla akuhifadhi mkuu
2026-08-30 10:55:20
0
mattiekuyan
mattiekuyan :
👏👏👏 maua yako mhe.
2026-08-30 07:55:48
0
queenfaithdidas
mima2 :
kuna mwandisi alikuwa anamzuiya assistant wake asisome akawaanampa makazi mengi aliamua kusoma baada ya kazi sasahivi yule assistant ni Kiongozi mkubwa sana na yule muhandisi yupo palepale
2026-08-30 09:01:23
0
shimbe10
shimbe :
upo sahihi kiongozi,changamoto wa chini anaonekana hana mawazo mazuri kwa kiongozi alie juu
2026-08-30 11:53:26
0
anwar.alnoor6
Anwar Alnoor :
ni roha mbaya tuu mkuu, wanataka wao wawe juu kila siku
2026-08-30 07:30:01
3
hafidh5078
Hafidh :
Umewachana live bila chenga
2026-08-30 08:01:39
1
uno9019mine
7880 :
Wanakera Sana
2026-08-30 09:35:51
0
nsumesalome
user4957031077864 :
umenyooka sana mhe
2026-08-30 08:53:49
0
upendosanga18
Upendo Sanga :
siy hyo tu hata kusoma kwa kujilipoa bado haitoshi hata kubadilishwa muundo chanhamoto sana
2026-08-30 13:37:01
0
To see more videos from user @kashera264, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About