@ramsey_dpz: KIPI KINAKUVUTIA KUSAFIRI USIKU? #fyp #viral #fypシ #fypシ゚viral #trending

Ramsey Dpz 🍺
Ramsey Dpz 🍺
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 06:36:38 GMT
69648
4827
280
102

Music

Download

Comments

lempylampy1
lempy 01 :
Very relaxed as in no traffic stress, comfortable environment interms of temp, then it’s fast
2026-09-07 23:32:20
0
user4313907307349
[email protected] :
gola the best
2026-09-07 21:43:47
0
mimi45ion_
Medicine :
Ukilala ukiamka umefika mbinguni kwa mungu baba
2026-08-30 09:45:14
114
egogoe7
You look innocent🤣🤣🫵🫵🫵 :
Which bus is this😳🥰🥰
2026-09-06 10:14:46
1
johnmagarikahama
john magari kahama :
Wakizima na Taa lolote linaweza kutokea Safarini 😁
2026-08-30 14:01:35
60
abubakary.h2
Abubakary H. :
Labda ni ule utulivu wa usiku 😅🌙… unapokuwa safarini kila kitu kinakuwa kimya, unaangalia taa za barabarani na kufikiria mambo yako. Kuna feeling fulani ya peace ambayo safari za mchana hazina .
2026-08-31 07:35:09
106
poo_mia
Poo Mia :
meditation unapata utulivu wa akili yako kwa 100% unakua unawaza vitu positive unapata idea mpya unakumbuka wapi umetoka ulipo na unapoelekea na njia sahihi ya kupambana na changamoto za maisha uku ukiwa na matumaini makubwa kwamba ipo siku utafika sehem ulioomba Mungu akufikishe
2026-09-02 09:20:20
29
lice.alice.alice7
Alice💕 :
Mm naiwazia safar ya kutoka dar to msoma hata ulale usiku mzm ukishtuk bado uko njiani yani dar ni mbali sana jmn japo usiku hauchoki kam ukisafir asubuhi
2026-08-31 19:27:11
36
fiveobliq
mkuu wa ma rider Tz :
nyimbo laini harafu uwe na mtoto wa kike hamjuani asikia usingizi harafu anakulalia🥰
2026-09-02 09:55:51
17
_msijali
_msijali :
Ukisinzia kdg upo moro, kidogo tena upo magufuli😅
2026-09-01 17:30:21
26
imani_maturo
Imani Traveller :
Nilipata dem🤣
2026-08-30 11:56:06
14
user6525463634932
user6525463634932 :
nyimbo ya nani? papaa wemba au
2026-08-31 16:51:32
11
hilaliusedwin
Hilalius Edwin :
nyimbo za fally ipupa na koffy olomidee
2026-08-31 10:16:33
10
user4278778553851
mtanga zoka kulu :
𝗺𝗼𝗷𝗮 𝘆𝗮 𝘀𝗮𝗳𝗮𝗿𝗶 𝗵𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶 𝗻𝗶𝗸𝘂𝘀𝗮𝗳𝗶𝗿 𝘂𝘀𝗶𝗸𝘂 𝗺𝗱𝗮 𝘄𝗼𝘄𝗼𝘁𝗲 𝗱𝗲𝗿𝗲𝘃𝗮 𝗮𝗻𝗮𝗹𝗹𝗮
2026-08-30 13:27:00
11
mpangalaally
ALLY SAIDI MPANGALA :
Sijui madereva wanawezaje kubalance usingizi ukiwa kwenye uskan hata wakiwa wawili bado usingiz wa usiku hauna kugawana masaa. Safari za Usikuni nguvu za Mungu tu ndo zinazoendesha gari na si vingnevyo. Nisieleweke vibaya kwamba mchana Mungu hausiki la hasha. 🙏 🙏 Ila Usiku ule usingizi na kuchoka kukaa kwenye kitu unavyojisikia ni sawa sawa na dereva nae kwa sababu na yeye ni binadamu. 🙏 🙏
2026-09-03 20:28:51
9
user3653778698837
mligazi :
utulivu unalal unaamka iringa unalal unaamka dodoma unalala unaamka tabora 😃😃
2026-08-30 16:12:26
6
ramadhanimosh
Ramy Tz :
wallah mi usingizi haupitigii😂😂 mambo ya kulala na kujikuta upo mbele za haki 😂
2026-08-30 22:30:48
7
gerryjr60
Wuod Nyaseme :
Unaanza kisinzia mpo chalinze, usingizi unanoga mko dodoma, ukifingua macho mpo nyegezi stend..oya so poa
2026-08-31 12:17:21
7
nicksonkavishe
nicksonkavishe :
nili lala toka dodoma nika shangaa morogoro msamvu kidogo mbez asee gar afu usiku hina pigwa fimbo
2026-08-31 06:42:49
5
roserieny1
Roserieny🌹😘♥️ :
kusafiri usiku una raha yake bwana🥰
2026-09-07 06:02:02
1
yahaya20016
Mogoyo+254 :
kunakuwa kumetulia
2026-08-30 06:51:30
1
simon.kendrick4
Robert :
kula hmna mpka tufikeee😂😂😂
2026-09-06 15:22:41
3
sam.muchiri5
Samuel Muchiri :
Fally ipupa songs😍
2026-09-04 13:01:11
3
yahaya.omari3
Yahaya Omari :
safari za usiku sipendelei kabisa ila tu shida
2026-08-31 16:06:35
3
To see more videos from user @ramsey_dpz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About